EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Siku hizi wanaruhusu wanafunzi kwenda na simu shuleni au ndio day school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupanga ni chaguo la mtu mbona Diamond pamoja na kuwa na hela nyingi na still amepanga kabla ujamkosoa mtu kwanza jua sababu ipi imemfanya apange huyo dada ndio kwanza hata ajafika hata miaka 2 kwenye industry tangu awe maarufu na kuanzia kuigiza hela ataanzaje moja kwa moja kujenga? Una jua malengo yake ni yapi Unaweza kukuta kapanga lakini anaendelea na ujenzi wa nyumba yake Tena unakuta anataka kushusha mjengo maana sio nyumba imradi nyumba tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu kila mtu hapa duniani ana mipango yake anayoijua yeyeYaani sijui hawa wasanii wanafikiriaga nini, yaani unajivunia kabisa kusema unapanga nyumba mil 3 kwa mwezi na hujajenga yako?[emoji56][emoji44]
Sijui dar vijana wake wanakula niniYaani sijui hawa wasanii wanafikiriaga nini, yaani unajivunia kabisa kusema unapanga nyumba mil 3 kwa mwezi na hujajenga yako?[emoji56][emoji44]
Diamond anayo yakwake MadaleKupanga ni chaguo la mtu mbona Diamond pamoja na kuwa na hela nyingi na still amepanga kabla ujamkosoa mtu kwanza jua sababu ipi imemfanya apange huyo dada ndio kwanza hata ajafika hata miaka 2 kwenye industry tangu awe maarufu na kuanzia kuigiza hela ataanzaje moja kwa moja kujenga? Una jua malengo yake ni yapi Unaweza kukuta kapanga lakini anaendelea na ujenzi wa nyumba yake Tena unakuta anataka kushusha mjengo maana sio nyumba imradi nyumba tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu kila mtu hapa duniani ana mipango yake anayoijua yeye
Hao bbc swahili wamempa zawadi gani au wanamsifia tuHow do you find it guys!!?
Mi binafsi nakubaliiii.
Haappy New yearrr to u alll. Love U
===
Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza.
Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva.
Mwaka uliopita msanii huyu alitoa albamu yake ya uzinduzi I AM Zuchu na pia aliingia kandarasi na Lebo ya kurekodi muziki ya WCB Wasafi.
Kulingna na programu ya kucheza muziki ya Boomplay , Albamu yake ndio iliochezwa sana nchini Tanzania mwaka 2020 na video za muziki wake zimefanikiwa kuvutia mamilioni ya mashabiki katika mtandao wa You Tube.
Hivi niucelebrity ndiyo unafanya wawe na maisha ya kuigiza mtu anapanga nyumba kwa bei ya juu mbona hiyo hela angeweza nunua nyumba yake kabisa ujinga tuNimeangalia kwenye tv sahivi eti kamzawadia Meneja wake gari, halafu katika kushukuru Meneja anasema alikuja na lift hapo kwenye birthday yake yaani anamaanisha hakuwa na gari[emoji56][emoji56], maisha ya wasanii bwana kilakitu sanaa. Inawezekanaje msanii anaingiza mpunga mrefu kiasi cha kupanga nyumba ya mil 3 kwa mwezi halafu Meneja wake wa muda mrefu ambaye ameanza naye Safari ya muziki akose hata kapasso kakuzugia mjini?
Nyumba anayoishi sasa hivi ya mbezi amepanga kwanini ujiulizi ameacha kule madale nakuamua kupanga kwa mujibu wake mwenyewe amesema ili awe karibu na ofisi yake.So hapo unapata kujua kila mtu ana mipango yake mwenyewe basi mwacheni nae Zuchu aishi anavyotaka yeyeDiamond anayo yakwake Madale
Wewe umejuaje kwamba ajengi?huyo dada ana muda mchache Sana tangu aanze kupata hela nyingi hata miaka 2 ya industry ya mziki ajafikisha ulitegemea tu moja kwa moja awe ana nyumba ya kwake? Hivi kwanini wabongo mnapenda kupangia wenzenu maishaHivi niucelebrity ndiyo unafanya wawe na maisha ya kuigiza mtu anapanga nyumba kwa bei ya juu mbona hiyo hela angeweza nunua nyumba yake kabisa ujinga tu
Kulipa kodi 3M per month sio lazima uwe na kipato cha 200M per year.Sema hawa jamaa huwa wanatupanga 44M maana ake hata kama ni masaki au posta nayo ni apartment ya kibabe tena ya 3 en suite bedrooms, maana ake ana kipato si chini ya 200M kwa mwaka[emoji23][emoji23][emoji119]