BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

Hilo la kujitegemea ndio lengo la kila taifa duniani. Hata familia, baba ukiwa ni mtu wa kuonewa huruma na kusaidiwa huwa inauma sana na kila wakati unatamani uilishe familia yako mwenyewe, huo ndio uanaume.

Btw, kwa beberu hakuna kitu 'msaada', akikupa chochote ni lazima ukilipie kwa namna nyingine × 7. Na hapo ndipo kiini cha umaskini wa mataifa mengi kilipo.

Wanasema wenyewe. No free lunch!
Kwani mmelazimishwa kuwa omba omba?
 
hakuna hasara kunyimwa mikopo na misaada kwani wasiopokea misaada wanaishije? mtu uliezoea kumuomba omba akichoka akikukatia msaada unapata akili!!

siku moja Magu alisema tutumie fursa ya kuzungukwa na nchi zenye vita na kukosa bahari kujineemesha, haya wachumi tushaingia uchumi wa kati nasasa tunaonekana matajiri kidogo basi wazee wa sarafu kaeni chini na philosopher Magu mchambue kila nchi inayotuzunguka tunaweza kuwaibia kivipi, this is serious business msipuuze Mzee wa Chato ana madini mno sisi wa pembezoni tunamsikia zaidi sababu hatulishi hawezi kututumbua hatumuogopi bali tunamheshimu sana na tunaheshimu na kusikia vizuri sana hekima zake kupitia hotuba zake!!

kwanza angalieni bandari yetu, ndege zetu, vyakula vyetu, ardhi yetu, madini yetu , mbuga zetu na kila kitu tunaweza kutumia kuchukua pesa za majirani

mfano kwanini Kigwangwala asianzishe program maalum ya safari za kitalii nafuu kuja Serengeti , Zanzibar na Ngorongoro kwa wanafunzi wa Ulaya na US na majirani Rwanda, Burundi, Congo, Malawi, Zambia , Msumbiji, Kenya na Uganda vitu vilivyoko Serengeti hakuna kwingine!! wakishawishiwa watakuja tu!! just example!! au kupenyeza mtu wetu Bandari ya Mombasa kujua gharama zao za ushuru nasi tukashusha five percent chini yao? au kumtuma Kikwete kule Burundi achukue tenda zote za mizigo ya Burundi hasa silaha toka nje kupitia bandari!!Au bwana mkubwa Magu kwenda tena Rwanda kuchukua tenda za silaha za Swahiba yake Kagame kwa kumpa ofa ya ushuru pungufu kulinganisha na bandari ya mombasa!!

Au kumtuma Kikwete na waziri wa mambo ya nje kwa kila nchi inayotuzunguka kukaa wiki nzima kuuliza wataagiza nini toka nje kupitia bandari na huwa wanalipa gharama zote sh ngapi bei atayotajiwa sie tunatoa ten percent tu kulamba madili!! au just kuuliza nini wanahitaji tuone kama tunacho cha kuwauzia ? tumtumie vizuri Magu kila kauli yake huwa ina madini sababu hutoka moyoni

Bila kusahau kuendelea kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa madini ya thamani kama almasi na dhahabu

Kumbe kweli sisi ni Matajiri!!
 
M
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.

1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa inaondolewa kwa sababu unajiweza.
4. Misaada kama ya madawa mfano HIV inaweza kuondoleaa ikiwemo na baadhi ya chanjo.

Hivyo tujipange.

Pia soma
- Nini maana ya Tanzania kutangazwa kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati (MIC) na Benki ya Dunia?
- News Alert: - Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati
Magufuli Bora tu aongezewe muda mwingine baada ya 2025...

KWA NINI BASI
Kwa sababu taifa letu limekuwa na walimu wengi tu ila kwa bahati nzuri tumempata MWALIMU wa kipekee....NI wa kipekee hebu tusimung'unye maneno....
MAGUFULI NI MWALIMU WA KIPEKEE KWA WATANZANIA.....

Mwalimu huyu hatumii nadharia tu Kama walimu wengi tuliowahi kuwa nao na ambao tunao katika femili zetu,MITAA yetu,wilayani,mikoani,bungeni, katika wizara,majeshini,mahospitalini n.k

MWALIMU huyu kila mara anatukumbusha KIVITENDO kuwa tujitambue....tufanye kazi.....HATUNA WAJOMBA HUKO NJE....

HATUNA WAJOMBA HUKO NJE

Mbona kenya wanapata?
Ni sawa tu,hata hii kuingia uchumi.wa kati misaada mingi tumenyimwa
Ilifikia raia wa kawaida tu anaandikia WB tunyimwe pesa na tunanyimwa
 
M

Magufuli Bora tu aongezewe muda mwingine baada ya 2025...

KWA NINI BASI
Kwa sababu taifa letu limekuwa na walimu wengi tu ila kwa bahati nzuri tumempata MWALIMU wa kipekee....NI wa kipekee hebu tusimung'unye maneno....
MAGUFULI NI MWALIMU WA KIPEKEE KWA WATANZANIA.....

Mwalimu huyu hatumii nadharia tu Kama walimu wengi tuliowahi kuwa nao na ambao tunao katika femili zetu,MITAA yetu,wilayani,mikoani,bungeni, katika wizara,majeshini,mahospitalini n.k

MWALIMU huyu kila mara anatukumbusha KIVITENDO kuwa tujitambue....tufanye kazi.....HATUNA WAJOMBA HUKO NJE....

HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
HATUNA WAJOMBA HUKO NJE
yote uko sahihi ila kuongezewa muda Magu hapana mkuu pliz acha mawazo ya kichawi kama hayo! acha kuwaza kibinafsi
 
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.

1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa inaondolewa kwa sababu unajiweza.
4. Misaada kama ya madawa mfano HIV inaweza kuondoleaa ikiwemo na baadhi ya chanjo.

Hivyo tujipange.

Pia soma
- Nini maana ya Tanzania kutangazwa kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati (MIC) na Benki ya Dunia?
- News Alert: - Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati
Tumechagua sifa za muda mfupi badala ya uhalisia wa mambo.
 
Sawa na ss tutabadiri masharit ya wao kuwekeza kwetu na kufanya biashara kwetu ili tuendane nao. Kwaiyo wambie nao wajipange
 
Nadhani kuna kundi la watu wao wapo kazini, mara uchumi mdogo wa kati tumeingizwa kimagumashi, mara ilitakiwa JK ndio atufikishe hapa manake alikuwa anafanya vizuri zaidi ya JPM, mara sasa tumeshakuwa uchumi wa kati hivyo misaada itakoma. Who cares if it's JK or JPM? Tunachotaka ni kuwa taifa huru kiuchumi, that's more important than these blah blah going on here.

Tunataka uchumi wa makaratasi u-reflect maisha ya mtanzania, tunaweza kufurahia kuwa tumekuwa kiuchumi kumbe mahesabu ya Mohammed Enterprises, Bakhressa Group of companies na GSM ndio yametufikisha hapa tulipo, yaani 10% ya watanzania ndio inapigiwa mahesabu il hali wengine tumekuwa wasindikizaji. I believe hili hata Kenya lipo hivyo.
 
Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa.

1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa
2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena.
3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa inaondolewa kwa sababu unajiweza.
4. Misaada kama ya madawa mfano HIV inaweza kuondoleaa ikiwemo na baadhi ya chanjo.

Hivyo tujipange.

Pia soma
- Nini maana ya Tanzania kutangazwa kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati (MIC) na Benki ya Dunia?
- News Alert: - Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati
Kwa hiyo hao BBC walitaka tusiingie kwenye uchumi wa kati au?
 
Tegemea pia NGOs nyingi kufa rasmi maana misaada yake ilikuwa ni kuondoa au kupunguza umaskini. Hivyo Eligibility criteria itaondoa Tanzania. Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom