BBC: Ukraine yafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi - Kyiv

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
849
Reaction score
1,482
1.jpg

Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine.
Vyanzo vya shirika la ujasusi la Ukraine SBU viliiambia BBC kwamba shambulio hilo la usiku lilikuwa "pigo kubwa" kwa uwezo wa Urusi katika vita.

Urusi ilisema kuwa imedungua makombora ya Atacms yanayotolewa na Marekani pamoja na makombora ya Uingereza ya Storm Shadow, na kuapa kujibu mashambulizi hayo.

Angalau viwanja tisa vya ndege katikati na magharibi mwa Urusi vilisimamisha shughuli zake kwa muda, huku mashambulizi hayo yakisababisha shule za kusini magharibi mwa mkoa wa Saratov kufungwa.

Mashambulizi katika eneo la mpakani la Bryansk yalisababisha milipuko katika kiwanda cha kusafisha mafuta, maghala ya risasi na kiwanda cha kemikali kinachosemekana kutengeneza baruti na vilipuzi, chanzo cha usalama cha Ukraine kiliiambia BBC.

Maafisa katika eneo la magharibi la Tula pia waliripoti shambulio la usiku mmoja, ambapo gavana wa eneo hilo Dmitry Milyaev alisema ulinzi wa anga umedungua ndege 16 zisizo na rubani.
Hakukuwa na majeruhi, alisema, ingawa vifusi vinavyoanguka vimeharibu baadhi ya magari na majengo.
 
Uzuri hakuna kinachoweza kuwadhoofisha warusi hawa jamaa sijui ni watu wa aina gani?
Kudhoofika kwa russia ndiko huko mkuu, vita ilianza kwa urusi kuipiga Ukraine sasa Ukraine wamepata nguvu wanaishambulia russia tena katikati kuna mambo mengi yameanza waziwaz sasa kudhoofika kwa russia,
1. Vipi mtu uliemzidi kwa kila kitu mpaka umefanikiwa kuingia ndani ya nchi yake kumpiga akaweza ku-kukuruka akaja upande wako kwenye ardhi yako na kuanza kukupiga.
2. Russia kutafuta usaidizi na kuingi mkataba na north korea kijeshi, karibu wanajeshi elfu 10, kutoka north korea wanapigana upande wa urusi lakini bado Ukraine ameweza kusimama kwa miguu yake na kushambulia russia.
3. Ukraine vilivyoanza vita hakuwa na silaha za maana sasaiv Ukrean ameanza kujitengenezea silaha mwenyewe na anafanikiwa kumpiga russia ambaye tulidhani level yake ni US au mataifa mengine makubwa pia
4. Ilikuwa haiwezekani Ukraine kuishambulia russia sasa ni piga nikupige na putin amechoshwa na kauli zake atatumia nuclear sijuw nini sijuw nini nk. kuna mambo mengi sana

Kudhoofika kwa russia ni mpango wa muda mrefu sana ulioandaliwa ni US na washirika wake na kwa haraka haraka utaona kama Russia haijaathirika lakini utashangaa bado muda upo sana kwa sababu russia nao wana ngome imara wanapambana lakini wanapungua nguvu kidogo kidogo ambapo ndio mpango uliokusudiwa.
 
View attachment 3202419

Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine.
Vyanzo vya shirika la ujasusi la Ukraine SBU viliiambia BBC kwamba shambulio hilo la usiku lilikuwa "pigo kubwa" kwa uwezo wa Urusi katika vita.

Urusi ilisema kuwa imedungua makombora ya Atacms yanayotolewa na Marekani pamoja na makombora ya Uingereza ya Storm Shadow, na kuapa kujibu mashambulizi hayo.

Angalau viwanja tisa vya ndege katikati na magharibi mwa Urusi vilisimamisha shughuli zake kwa muda, huku mashambulizi hayo yakisababisha shule za kusini magharibi mwa mkoa wa Saratov kufungwa.

Mashambulizi katika eneo la mpakani la Bryansk yalisababisha milipuko katika kiwanda cha kusafisha mafuta, maghala ya risasi na kiwanda cha kemikali kinachosemekana kutengeneza baruti na vilipuzi, chanzo cha usalama cha Ukraine kiliiambia BBC.

Maafisa katika eneo la magharibi la Tula pia waliripoti shambulio la usiku mmoja, ambapo gavana wa eneo hilo Dmitry Milyaev alisema ulinzi wa anga umedungua ndege 16 zisizo na rubani.
Hakukuwa na majeruhi, alisema, ingawa vifusi vinavyoanguka vimeharibu baadhi ya magari na majengo.
Uyo BBC ni chombo ya propaganda ya UK na ulaya kwa ujumla Ukraine akipigwa mapigo makubwa awatoi iyo habari mifumo yao nikama tu ya Israel wao wamepitisha kabisa sheria ya kuzuiya vipigo inavopokea habari isitoke iwe siri kutoa habari kama unaweza pigwa risasi mchana kweupe!!! BBC tusiwaamini habari zao!
 
Ni kweli kabisa sasa Russia sio yule Russia tuliyekuwa tunamsikia kwani kutumia wafungwa vitani hadi kuomba msaada wa North Korea sio mchezo.

Nakumbuka kwenye vita vyetu na Uganda vilipoisha ule mwezi wa nne 1979 Nyerere alisema, "Idi Amin alifikiri vita ni Lelemama", hivyo nafikiri hata dikteta Putin naye ni hivyo hivyo alifikiri.
 
View attachment 3202419

Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine.
Vyanzo vya shirika la ujasusi la Ukraine SBU viliiambia BBC kwamba shambulio hilo la usiku lilikuwa "pigo kubwa" kwa uwezo wa Urusi katika vita.

Urusi ilisema kuwa imedungua makombora ya Atacms yanayotolewa na Marekani pamoja na makombora ya Uingereza ya Storm Shadow, na kuapa kujibu mashambulizi hayo.

Angalau viwanja tisa vya ndege katikati na magharibi mwa Urusi vilisimamisha shughuli zake kwa muda, huku mashambulizi hayo yakisababisha shule za kusini magharibi mwa mkoa wa Saratov kufungwa.

Mashambulizi katika eneo la mpakani la Bryansk yalisababisha milipuko katika kiwanda cha kusafisha mafuta, maghala ya risasi na kiwanda cha kemikali kinachosemekana kutengeneza baruti na vilipuzi, chanzo cha usalama cha Ukraine kiliiambia BBC.

Maafisa katika eneo la magharibi la Tula pia waliripoti shambulio la usiku mmoja, ambapo gavana wa eneo hilo Dmitry Milyaev alisema ulinzi wa anga umedungua ndege 16 zisizo na rubani.
Hakukuwa na majeruhi, alisema, ingawa vifusi vinavyoanguka vimeharibu baadhi ya magari na majengo.
Watajijua wenyewe
 
Hawa Urusi walitakiwa waanze kupigwa hivi mwanzo kabisa wa vita, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine.
 
Putin is a getting a taste of his own medicine.
Hii ni majibu ya shambulio la Ukraine.

15 Jan, 2025
Russia strikes Ukrainian energy infrastructure – MOD

The Russian military has carried out a combined strike against Ukraine’s gas and energy infrastructure, which feeds Kiev’s military-industrial complex, Moscow’s Defense Ministry has said.

The attack early on Wednesday involved “high-precision weapons” and drones, according to a ministry statement.

“The objective of the strike has been achieved. All of the designated facilities were hit,” the statement read.

According to unverified social media posts, explosions were heard in Ukraine’s Khmelnitsky, Vinnitsa, Ivano-Frankovsk, Lviv and Kharkov regions on Wednesday morning.

The country’s state-run energy company, Ukrenergo, said in a statement that due to “the massive missile attack,” emergency power outages occurred in Kharkov, Sumy, Poltava and Dnepropetrovsk, as well as in other areas.

“We remind you that the Ukrainian power system is currently continuing to recover after thirteen massive missile and drone attacks by the Russians over the past year,” Ukrenergo stated.

Russian State Duma Defense Committee chairman Andrey Kartapolov told Vy Slushali Mayak Telegram channel on Wednesday that “one should not be surprised” that Ukraine’s energy infrastructure is being targeted after Kiev tried to destroy a TurkStream gas pipeline facility inside Russia.

On Monday, the Russian Defense Ministry said that Ukraine had launched an unsuccessful attack with nine kamikaze drones on a gas compressor station near the village of Gaikodzor in Russia’s Krasnodar Region. The site is crucial for the operation of TurkStream, which delivers Russian natural gas to Türkiye and several European nations via the Black Sea.

“The gas transportation system of Ukraine is a primary target... also because the gas stolen from Russia – which [the Kiev authorities] stored and then refused to pass on to those for whom it was intended - is being kept there,” Kartapolov explained.

“The thieves should not profit from our property and they will not do so,” the lawmaker stressed.

Kiev stopped the flow of Russian gas to European customers via Ukraine on January 1, after refusing to prolong a transit deal with Russian energy giant Gazprom.

Moscow added Ukrainian power plants to the list of legitimate military targets in early 2024 in response to the intensification of Kiev’s drone incursions into Russian territory, mainly targeting energy infrastructure, but also hitting residential areas.

Most of Ukraine’s non-nuclear generation capacity has been disabled or destroyed in strikes since then.
 
Russia kashindwa kupata ushindi wa kimedani mpaka sasa.... kiufupi Russia haina nguvu kama ilivyokuwa ikidhaniwa.
 
Russia ilisema kama Ukraine atatumia silaha alizopewa na Nato kushambulia ndani kabisa ya Russia basi watalipiza kisasi kwa kishindo kwa kuzishambulia nchi za Nato.

Lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho Russia wanajaribu kuepuka kwa gharama yoyote kama kuishambulia nchi yoyote ya Nato.

Ninawaheshimu kwa kulinda huo msimamo.
 
Uzuri hakuna kinachoweza kuwadhoofisha warusi hawa jamaa sijui ni watu wa aina gani?
Hujui chochote Urussi hiko hoi sema watu wake wamefungwa midomo hakuna Uhuru wa habari kule sera za kukubali kila anachosema Rais zime jaa mpaka sasa jamaa waomba msaada kutoka kwa Kiduku Putin ala apa kwamba atakaye msaidia Ukrein aka mjua ata mwangamiza sasa awaangamize hao USA na UK kale kazee ni chizi
 
Back
Top Bottom