BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya.

Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
Screenshot_20221029-203713_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo masiniper wa RUSSIA wamebana sehemu tu huku wameshikilia trigger tu, meli ikitoa kichwa tu inasambaratishwa.
Masiniper si ndivyo? Alafu kazi yao ni kusambaratisha meli right?
Kweli Jf tupo watu mchanganyiko hahaha
 
Masiniper si ndivyo? Alafu kazi yao ni kusambaratisha meli right?
Kweli Jf tupo watu mchanganyiko hahaha
Sasa mkuu kama Mwamba amezuia unafikiri nini tena, Rais akisema kitu kinachobaki ni utekelezaji , hakuna kujadili.
 
Katibu wa UN kafanya kazi bure kufanikisha chakula kusafirishwa lakini majitu yasiyo na akili yamevuruga mpango huo MAJITU ..
 
Back
Top Bottom