BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

Mbona hao uingereza, ufaransa walipewa msaada na bado walichapika?? US hakumsaidia Urusi tu aliwasaidia wote waliokua wanapambana na Hitler ila Urusi tu ndo alieweza kumtuliza Hitler
Kwaiyo akili yako yakutuma Urusi ingeshinda vita ya Hiteler bila ya US na magharibi? Urusi wenyewe ndio waliomba msaada ili kumshinda Hitler kabla kipindi icho hawajakuwa mahasimu, nenda kasome history utajifunza
 
Na hao wamagharibi wasingeshinda hio vita bila mrusi,,,,,wangetumia hio misaada yao wenyewe washinde, mbona walishachezea kichapo sana hadi jeshi la urusi lilipowasaidia wasitawaliwe na Hilter,,,,,yani ilikua mrusi angepigwa basi ulimwengu wa wamagharibi wote ungetawaliwa na Hitler,,,,kwahio mrusi kawasaidia sana kuliko wao walivyomsaidia urusi
 
Awa BBC kwanza tunataka warepot kuusu Netanyahu kutakiwa kukamatwa popote alipo. Hii habari ya hana lkn adi leo wameichunia kuna Uzayuni mulendani sio kwa kimyaichi.
Unadhani ikitangazwa ndo atakamatwa? Si mara ya kwanza hizi hbr zimeshatangazwa several times. Netanyau hajali so hilo halimshtui hata
 
Urusi ilishashindwa vita vya Hitler yeye ndo alikuwa anapigana, hao US na majirani walikuja baada mrusi kushindwa Hitler ndio akaenda na maji
 
Urusi ilishashindwa vita vya Hitler yeye ndo alikuwa anapigana, hao US na majirani walikuja baada mrusi kushindwa Hitler ndio akaenda na maji

Na bado mrusi ndo aliewainua
 
Sio tena Tani za chakula sasa hivi.
Baadae watapelekewa marobota ya nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…