BBC: Urusi yakamata Magarivita ya USA yaliyotumiwa na magaidi ya Ukraine huko Belgorod, Marekani yajitenga na tukio hilo

BBC: Urusi yakamata Magarivita ya USA yaliyotumiwa na magaidi ya Ukraine huko Belgorod, Marekani yajitenga na tukio hilo

Moja ya sifa kubwa ya mtu hatari nikutojibu mashambuliz. Kiufupi Russian anajitekenya sana ila Europe na USA wanasubiri avuke red line. Dunia iyone might power zao. Na sio siri mama mkanye mwanao Putin hana muda hatutamsikia tena just keep silence. CIA wameshajuwa ujinga anaufanya na vile wata neutralize silence [emoji850]
Ujinga, Ulaya na hao NATO nani anataka vita na Urusi? Usidhani ni vita ya kurushiana risasi jwa kifupi ni vita ya kubadilishana Nucler,wala vifaru havitakuwa na kazi kule
 
Moja ya sifa kubwa ya mtu hatari nikutojibu mashambuliz. Kiufupi Russian anajitekenya sana ila Europe na USA wanasubiri avuke red line. Dunia iyone might power zao. Na sio siri mama mkanye mwanao Putin hana muda hatutamsikia tena just keep silence. CIA wameshajuwa ujinga anaufanya na vile wata neutralize silence 🤐
We jana ni mshamba sana,unajifanya unaijua Urusi sana.
 
Urusi wana maisha mazuri Ulaya nzima, wana vyakula tele kwa kifupi zile Basic needs wwanazo tele, angalia mfumuko wa Bei Uingereza kwa sasa
Western Europe walishavuka uko miaka mingi sana maisha ya kula ukavimbiwa ndio unaona una maisha mazuri.
Mfumuko wa bei bado haujafanya GDP ya Russia kuwa kubwa kuzidi ya UK, wala haujafanya basic salary ya UK kuzidiwa na ya Russia wala GDP per capita kuwa ndogo dhidi ya Russia.

Vipimo vya maisha mazuri vinajulikana, Urusi ina maisha mabovu kulinganisha na Western Europe. Ina cases nyingi za HIV/AIDS, road accidents, ulevi, ina life expectancy ndogo, emigration kubwa, mishahara ya chini, stagnant population, rushwa na ubadhirifu, na characteristics nyingine mbaya.
 
Mshahara mdogo unaolipwa RUSSIA [emoji635] unaweza kukidhi mahitaji yako yote ambayo huwezi kuyakidhi ukiwa namshahara mkubwa huko UK [emoji636] au US

Basi kama kula nakuvimbiwa sio maisha mazuri walau watu wapate sehemu za kulala wasilale nje majiani wakapigwa na baridi nakufa kama Kule us

kukua kwa GDP Kuna msaada Gani ikiwa raia wanalala nje kama US au wanalalama ughali wa maisha kama [emoji1099] EU
 
Moja ya sifa kubwa ya mtu hatari nikutojibu mashambuliz. Kiufupi Russian anajitekenya sana ila Europe na USA wanasubiri avuke red line. Dunia iyone might power zao. Na sio siri mama mkanye mwanao Putin hana muda hatutamsikia tena just keep silence. CIA wameshajuwa ujinga anaufanya na vile wata neutralize silence 🤐
Putin yupi?
 
Yaani mnaojiita wachambuzi humu hamna tofauti na watoto wa Facebook kule, hakuna mnachokijua hata kweli kama kama nchi tuna safari ndefu aise kwa akili na mawazo ya aina hii duh!

Hayo magari ni US made na sio kwamba USA ndo waliwapatia hao waasi wa Russia hayo magari au kuwaunga mkono, bali waasi walitumia magari vita yaliotengenezwa USA ok, muweni na akili timamu wanaume
 
Back
Top Bottom