PostGE2025 BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari za mauaji kipindi cha uchaguzi

PostGE2025 BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari za mauaji kipindi cha uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi.

Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya kutisha oct 29, hata ndugu samia alitoa pole bungeni kwa watanzania waliofiwa.

Post ya BBC muda mchache uliopita.

Screenshot_20251123-221408_Lite.jpg
 
Ndio maana tulishauri wasijibu kuhusu documentary zilizotokea, so tusubirie sanctions tu
Kwa hiyo ndiyo strategy yenu hiyo kukaa kimya, na ripoti yoyote inayotoka ni kukana na kukemea halafu kurudi tena kwenye kukaa kimya? Kwa nini mnawaona watanzania kama matako yenu?
 
BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi.

Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya kutisha oct 29, hata ndugu samia alitoa pole bungeni kwa watanzania waliofiwa.

Post ya BBC muda mchache uliopita.

View attachment 3506508
Walitaka wasitumie nguvu?
 
Back
Top Bottom