Waziri Mambo ya Nje Mahmood Kombo alipoiambia DW kuwa hakuna mauaji si alikuwa anaudanganya ulimwengu kwa niaba ya Mama Samia? kwanini wasiombe radhi?BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi.
Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya kutisha oct 29, hata ndugu samia alitoa pole bungeni kwa watanzania waliofiwa.
Post ya BBC muda mchache uliopita.
View attachment 3506508