BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

Wakuu mnachanganya sana mambo msikaze vichwa 😁😁😁,,
Hapo criteria ni budget ya jeshi lenu,vifaa vya kijeshi na size ya jeshi ndo zimetumika ku rank ..
Inawezekana kbsa tuko vizuri kwenye mbinu za kimedani na uwezo wa kimapigano na wenzetu wanatuheshimu kwa hilo ndo maana wanaleta wanafunzi wao hapa
Nashangaa Kuna watu wanalishusha jeshi letu
 
Back
Top Bottom