Wakuu mnachanganya sana mambo msikaze vichwa πππ,,
Hapo criteria ni budget ya jeshi lenu,vifaa vya kijeshi na size ya jeshi ndo zimetumika ku rank ..
Inawezekana kbsa tuko vizuri kwenye mbinu za kimedani na uwezo wa kimapigano na wenzetu wanatuheshimu kwa hilo ndo maana wanaleta wanafunzi wao hapa