johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ole wao na ole wetu. Sasa si bora mngeacha tu jamani? Inamaana kifuatacho ni kuitokomeza. BBC walitakiwa waseme "Wanampongeza sana Rais na serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea JF inayotupa habari za uhakika na kweli na kuwa tegemeo la wananchi".BBC wameipongeza Jamii forum kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Ndio au ulitaka mashairi?!hapo uzi tayari, eti?
Pia Mex apunguze uoga wakutufutia nyuzi zenye mvuto wakisiasa hasa zinazo gusa vigogo na mtakatifu, na kuacha za mapenzi kama "kula tunda kimasihara" "kufanya mapezi katika Mazingira hatari" nk. yaani nyuzi zinazo dumu nakuvutia wachangiaji zimebaki kua za ngono na mapezi, Mada za uchumi siasa zimedorora sana kwasabb zinachujwa sana na Mods great thinker wa jf wamepungua kwasababu hiyo ............. always freedom fighter don't fear death or jail....big up mex...BBC wameipongeza Jamii forum kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Max anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Source BBC Dira ya Dunia
BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Ole wao na ole wetu. Sasa si bora mngeacha tu jamani? Inamaana kifuatacho ni kuitokomeza. BBC walitakiwa waseme "Wanampongeza sana Rais na serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea JF inayotupa habari za uhakika na kweli na kuwa tegemeo la wananchi".
CCM ni chama tawala kuko shwari kabisa.Kiongozi bado upo ccm?
Umechange ghafla Sana na kuanza kutumia akili kufikiri
Kwa sasa umeanza kuwa mwana taaluma na mtu wa kufanya analysis
Umeuvua uchama, Ni salama huko ccm kweli?
Hapa Jf ulionekana ni mtu ambaye akili yako imeshikwa na umebaki kopo tupu
Ulikuwa mtu uliyekufa kifikra siku nyingi ingawa mwili wako ulikuwa unaishi, umepatwa na nini?
BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Na ndio mtandao ambao Rahisi anasema unatumika na Mabeberu
Waliohojiwa wamesisitiza kuwa taarifa " zote" zinapatikana Jf!Vipi ishu za ushirikina hawakugusia?
Kiongozi bado upo ccm?