kumbe mnalipwa na hamsemi
Yamedhibitiwaje?
Hawatoboi siku zao zinahesabiwaBefore March 2026 mengi yatakuwa yamejiri. Na wengine mtakuwa mmezikombia ID zenu kama MATAGA walivyo zikimbia wakati wa magu
Wacha dunia iendelee kuona ushetwani mlofanya
Si nyie machawa wa samuya, umesahau?!.kumbe mnalipwa na hamsemi
kumbe mnalipwa na hamsemi
Machawa wa buku saba saba, mnahaha sana. Serikali yenu haina uhalali, mmekalia maneno tusisi hatulipwi
Umenikumbusha mbali kina Bia yetu na vishundu wengine walikimbia wengine kina Idugunde wamerudi kua wapinzani wa Serikali wakati na CCM lia lia ila siasa zina Raha na karaha yake!Before March 2026 mengi yatakuwa yamejiri. Na wengine mtakuwa mmezikombia ID zenu kama MATAGA walivyo zikimbia wakati wa magu