BBC wamelipia tangazo insta kuonyesha maandamano yalivodhibitiwa

BBC wamelipia tangazo insta kuonyesha maandamano yalivodhibitiwa

sisi hatulipwi
Hivi mkipewa mauzauza kuja kuposti humu JF huwa hamkagui kwanza?

Nimetafuta wapi BBC wamelipa na wamemlipa nani au taasisi ipi sijaona. Hebu fafanua hapa hao BBC waliilipa taasisi gani na walipa kiasi gani cha fedha?
 
hio picha hujaiona ama hujui post inaolipiwa ikoje?
 
hio picha hujaiona ama hujui post inaolipiwa ikoje?
Kwani page ya Instagram ikiwa imeandikwa "sponsored" wewe ndiyo unaelewaje?

Yaani Page ni ya BBC halafu BBC tena walipie habari waliyoweka wao wenyewe?

Hapo masaki mnalipana posho kibwege Sana😄😀😃
 
Umepata ushindi wa 98% ila unaogopa hadi mijusi
Hili maza lenu bhana!

Ok. Mwambie Mwigulu asilie sana juu ya wasanii bali awambie wale milioni 31 waliopiga kura wawasapot hao wasanii wenu.
Dr Janabi: haters wa Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Mlijua haya mambo yataisha? Mauaji ya watoto wetu yatabaki kwenye vifua vya awamu ya sita. Na mikono iliyojaa damu za watoto wetu haitasafishika kamwe
yashasahaulika imebidi walipie tangazo kuweka ukorofi 🤣
 
yashasahaulika imebidi walipie tangazo kuweka ukorofi 🤣
Ni kweli upo sahihi. Kwa wauaji yamesahaulika, lakini kwetu wafiwa bado tupo Matanga.. Hongereni kwa kujilisha ujinga kwamba wafiwa tumesahau uzao wetu
 
Ni kweli upo sahihi. Kwa wauaji yamesahaulika, lakini kwetu wafiwa bado tupo Matanga.. Hongereni kwa kujilisha ujinga kwamba wafiwa tumesahau uzao wetu
Ni hulka ya binadam kusahau baada ya msiba, ata kwa ndugu zetu tunaowapenda tukishazika pale story ishaishaga pale kila mtu anaendelea na maisha, sasa wewe unataka kuitumia kama siasa we endelea

infact unatakiwa ukatubu kama ulikua mmoja wa waliohamasisha na wakafa alafu tarehe 9 hukutoka, maaana yake umewasaliti watu wenu sjui utafanya toba gan
 
Back
Top Bottom