BBC wamelipia tangazo insta kuonyesha maandamano yalivodhibitiwa

Umepata ushindi wa 98% ila unaogopa hadi mijusi
Hili maza lenu bhana!

Ok. Mwambie Mwigulu asilie sana juu ya wasanii bali awambie wale milioni 31 waliopiga kura wawasapot hao wasanii wenu.
uko nje ya mada
 
Before March 2026 mengi yatakuwa yamejiri. Na wengine mtakuwa mmezikombia ID zenu kama MATAGA walivyo zikimbia wakati wa magu
njoo uchukue Id zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…