Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hivi mkipewa mauzauza kuja kuposti humu JF huwa hamkagui kwanza?sisi hatulipwi
hio picha hujaiona ama hujui post inaolipiwa ikoje?Hivi mkipewa mauzauza kuja kuposti humu JF huwa hamkagui kwanza?
Nimetafuta wapi BBC wamelipa na wamemlipa nani au taasisi ipi sijaona. Hebu fafanua hapa hao BBC waliilipa taasisi gani na walipa kiasi gani cha fedha?
Kwani page ya Instagram ikiwa imeandikwa "sponsored" wewe ndiyo unaelewaje?hio picha hujaiona ama hujui post inaolipiwa ikoje?
Dr Janabi: haters wa Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.Umepata ushindi wa 98% ila unaogopa hadi mijusi
Hili maza lenu bhana!
Ok. Mwambie Mwigulu asilie sana juu ya wasanii bali awambie wale milioni 31 waliopiga kura wawasapot hao wasanii wenu.
Mlijua haya mambo yataisha? Mauaji ya watoto wetu yatabaki kwenye vifua vya awamu ya sita. Na mikono iliyojaa damu za watoto wetu haitasafishika kamwe
Ni kweli upo sahihi. Kwa wauaji yamesahaulika, lakini kwetu wafiwa bado tupo Matanga.. Hongereni kwa kujilisha ujinga kwamba wafiwa tumesahau uzao wetuyashasahaulika imebidi walipie tangazo kuweka ukorofi π€£
Mkuu wa kitengo upo nakuona katika harakati za kumpiga mawe shetani!
Ni hulka ya binadam kusahau baada ya msiba, ata kwa ndugu zetu tunaowapenda tukishazika pale story ishaishaga pale kila mtu anaendelea na maisha, sasa wewe unataka kuitumia kama siasa we endeleaNi kweli upo sahihi. Kwa wauaji yamesahaulika, lakini kwetu wafiwa bado tupo Matanga.. Hongereni kwa kujilisha ujinga kwamba wafiwa tumesahau uzao wetu
Yuko wapi kipara kipya na Kawe Alumni ? Wote wamesha badili IDS
Tokea afe jiwe jamaa nao wakafa natural!Yuko wapi kipara kipya na Kawe Alumni ? Wote wamesha badili IDS