BBI, Handshake breakdown Ruto and Uhuru relations

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Hakika kwa majirani zetu huko mahusiano ya Rais na makamu wake yametibuka.

Wachambuzi wa mambo wanasema matukio ya kisiasa yanayoendelea huko Kenya ni wazi yanaonyesha ule urafiki sasa umefifia (fade up).

Katika mkutano wa juzi wa kuzindua mjadala wa kitaifa wa BBI report ndio ulileta picha kamili.

Embu tazama hii habari then ndio tuanze kuamini huenda juhudi za UK kuzima uhasama wake na Raila pengine ndio kuzaliwa kwa uhasama wa Ruto na Raila?

Endapo kama Raila atagombea urais basi hii ndio utakuwa muendelezo wa siasa za kuwagawa Wakenya.

Dogo alikaribishwa awe mpole.
Wenye kujua kesho ya Kenya tunawajua.

Refer 2002- Election (NARC)
Refer 2007-Election (ODM)
Refer 2012-Election etc

Huyo atulie hata ss majirani tunajua asilete ukalenjin.
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts Kalenjins r always more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!

He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
 
Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
 
It is pitty he did not reconcile with Mois as they went to gang up with Kenyattas ready to fix him.

The other aspect one should look at is this fast growing bromance btn Uhuru n Magufuli that seeks consultations over issues. If RAO plays his cards right, he'll have a chance come 2022.
 
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts r more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!

Geza kama nakuelewa vile.....
Kile kikundi cha Mungiki kama nikukumbuka vile....though...

Wakenya kama wanataka waondokane na hili tatizo, kwanza waanze kuchanganya damu.
1. Waoane kabila tofauti
2. Waruhusu Rais na Makamu au Rais na Prime Minister (if any) atoke nje central Counties japo kwa awamu mbili
3. Zisiwe familia za kina Odinga,Kenyatta, Ruto, Mudavadi, Wamalwa au Smart boy
4. Nchi ifokasi ( ilenge) kuimarisha uchumi wa kikanda nje ya Nairobi-Naivasha-Thika-Machakos. Uchumi upelekwe Mombasa, Eldoret, Kisumu, labda na Kajiado

It ten year kutakuwa na uwiano mzuri wa kimaisha na fursa za maendelo.

Kenya kaskazini kwa sababu ya Alshabab sijaconsider anywY....
 
Its obvious looks like RAO is regaining Muscles and Ruto is peeling off
 
Media zingine bwana haziishi Choko choko
Yaani kutwa kuchokonoa chokonoa vijimambo ili wapate Story na kuongeza sintofaham na utata
 
Ila baba angalia vizuri hiyo video, unaweza kuona Ruto did not buy out the BBI thing. As a matter of fact was pissed off! Look carefully his demeanor!

Geza kama nakuelewa vile.....
Kile kikundi cha Mungiki kama nikukumbuka vile....though...

Wakenya kama wanataka waondokane na hili tatizo, kwanza waanze kuchanganya damu.
1. Waoane kabila tofauti
2. Waruhusu Rais na Makamu au Rais na Prime Minister (if any) atoke nje central Counties japo kwa awamu mbili
3. Zisiwe familia za kina Odinga,Kenyatta, Ruto, Mudavadi, Wamalwa au Smart boy
4. Nchi ifokasi ( ilenge) kuimarisha uchumi wa kikanda nje ya Nairobi-Naivasha-Thika-Machakos. Uchumi upelekwe Mombasa, Eldoret, Kisumu, labda na Kajiado

It ten year kutakuwa na uwiano mzuri wa kimaisha na fursa za maendelo.

Kenya kaskazini kwa sababu ya Alshabab sijaconsider anywY....
Kenya, Rwanda, Burundi, Ethiopia, South Sudan na Zanzibar, ni vigumu sana kurekebishika. Chuki, ukabila na tofauti za kijamii ziliachwa kushughulikiwa mwanzoni kabisa baada ya Uhuru, zimechanganyika na tofauti za kiuchumi, sio rahisi kabisa kuzirekebisha.
 
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts r more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!

He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
Hii kizungu ni wewe umeandika? Imeimprove sana. Kwani unaenda shule ya gumbaru au nini?
 
Watanzania mnahitaji hiki kitu zaidi yetu, Kabudi alikiri kiaina kwamba BBI ya Kenya itakua nguzo kwa EAC yote, itakua muhimu mkaiga nyote muache kuwakandamiza mamilioni ya wananchi wenye mlengo wa upinzani.
Kuna Mtanzania aliifungulia uzi nakuiweka vizuri sana, wenye akili mkisoma uzi wake bila mihemko, mtajifunza sana....huu hapa Je, Tanzania inahitaji BBI kama Kenya?
 
Kwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?
 
Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.

Yaani kama hatakaa sahani moja.na kina Jumwa na kina Balala kutoka Pwani na Lamu, akina Mudavadi kutokea hapa kati kusini, lakini pia apate someone kutokea kisii kuja Migori hawezi kushinda.
Ruto hawezi pata kitu nyanza kabisa bila Raila pia

Central ampate Kalonzo Musyoka labda
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Duh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?
 
Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.

Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
 
cc. Tony254
 
Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.

Yaani kama hatakaa sahani moja.na kina Jumwa na kina Balala kutoka Pwani na Lamu, akina Mudavadi kutokea hapa kati kusini, lakini pia apate someone kutokea kisii kuja Migori hawezi kushinda.
Ruto hawezi pata kitu nyanza kabisa bila Raila pia

Central ampate Kalonzo Musyoka labda

Dah, hapo umekwenda mbali sana na umenichanganya na hizo formula, lkn nimekupata ulichomaanisha!
 
Back
Top Bottom