luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hakika kwa majirani zetu huko mahusiano ya Rais na makamu wake yametibuka.
Wachambuzi wa mambo wanasema matukio ya kisiasa yanayoendelea huko Kenya ni wazi yanaonyesha ule urafiki sasa umefifia (fade up).
Katika mkutano wa juzi wa kuzindua mjadala wa kitaifa wa BBI report ndio ulileta picha kamili.
Embu tazama hii habari then ndio tuanze kuamini huenda juhudi za UK kuzima uhasama wake na Raila pengine ndio kuzaliwa kwa uhasama wa Ruto na Raila?
Endapo kama Raila atagombea urais basi hii ndio utakuwa muendelezo wa siasa za kuwagawa Wakenya.