luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Dogo alikaribishwa awe mpole.Aisee kuna kitu doh!
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts Kalenjins r always more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!Dogo alikaribishwa awe mpole.
Wenye kujua kesho ya Kenya tunawajua.
Refer 2002- Election (NARC)
Refer 2007-Election (ODM)
Refer 2012-Election etc
Huyo atulie hata ss majirani tunajua asilete ukalenjin.
It is pitty he did not reconcile with Mois as they went to gang up with Kenyattas ready to fix him.Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
Geza kama nakuelewa vile.....Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts r more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!
He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
Its obvious looks like RAO is regaining Muscles and Ruto is peeling offIt is pitty he did not reconcile with Mois as they went to gang up with Kenyattas ready to fix him.
The other aspect one should look at is this fast growing bromance btn Uhuru n Magufuli that seeks consultations over issues. If RAO plays his cards right, he'll have a chance come 2022.
Ila baba angalia vizuri hiyo video, unaweza kuona Ruto did not buy out the BBI thing. As a matter of fact was pissed off! Look carefully his demeanor!Media zingine bwana haziishi Choko choko
Yaani kutwa kuchokonoa chokonoa vijimambo ili wapate Story na kuongeza sintofaham na utata
Kenya, Rwanda, Burundi, Ethiopia, South Sudan na Zanzibar, ni vigumu sana kurekebishika. Chuki, ukabila na tofauti za kijamii ziliachwa kushughulikiwa mwanzoni kabisa baada ya Uhuru, zimechanganyika na tofauti za kiuchumi, sio rahisi kabisa kuzirekebisha.Geza kama nakuelewa vile.....
Kile kikundi cha Mungiki kama nikukumbuka vile....though...
Wakenya kama wanataka waondokane na hili tatizo, kwanza waanze kuchanganya damu.
1. Waoane kabila tofauti
2. Waruhusu Rais na Makamu au Rais na Prime Minister (if any) atoke nje central Counties japo kwa awamu mbili
3. Zisiwe familia za kina Odinga,Kenyatta, Ruto, Mudavadi, Wamalwa au Smart boy
4. Nchi ifokasi ( ilenge) kuimarisha uchumi wa kikanda nje ya Nairobi-Naivasha-Thika-Machakos. Uchumi upelekwe Mombasa, Eldoret, Kisumu, labda na Kajiado
It ten year kutakuwa na uwiano mzuri wa kimaisha na fursa za maendelo.
Kenya kaskazini kwa sababu ya Alshabab sijaconsider anywY....
Hii kizungu ni wewe umeandika? Imeimprove sana. Kwani unaenda shule ya gumbaru au nini?Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts r more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!
He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.Kwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?
Duh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.
Yaani kama hatakaa sahani moja.na kina Jumwa na kina Balala kutoka Pwani na Lamu, akina Mudavadi kutokea hapa kati kusini, lakini pia apate someone kutokea kisii kuja Migori hawezi kushinda.
Ruto hawezi pata kitu nyanza kabisa bila Raila pia
Central ampate Kalonzo Musyoka labda
ππ nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
cc. Tony254ππ nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.
Yaani kama hatakaa sahani moja.na kina Jumwa na kina Balala kutoka Pwani na Lamu, akina Mudavadi kutokea hapa kati kusini, lakini pia apate someone kutokea kisii kuja Migori hawezi kushinda.
Ruto hawezi pata kitu nyanza kabisa bila Raila pia
Central ampate Kalonzo Musyoka labda