BBI, Handshake breakdown Ruto and Uhuru relations

I support 100%.
 
Hakuna chochote
Kwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?
,Uhuru na Ruto wanamchezea shere tu Raila
 

I am Kalenjin Geza and what you are writing here is Not right at all.... Ask first before you spew misleading information
 
Kalonzo musyoka hatoki central anatoka eastern,pili katiba ya Kenya ilivyo hakuna mgombea kiti Cha urais anaweza pita bila muungano maana inasema lazima upate 50% ya wapiga kura wote na 25% kutoka kaunti 24 na lazima awe pia na mgombea mwenza .Ruto usimdharau ana nguvu na ushawishi wa hali ya juu na ndio maana Raila ameogopa kupeleka BBI bungeni maana anajua bunge linatawaliwa na Ruto. Hii nguvu yote hadi kubadili katiba ni kumzuia Ruto 2022 wameona bila kubadilisha katiba hawatamuweza.
 
Reactions: Oii
I support 100%.
Back to their roots, sijui kwanini Kenya mnaruhusu hii aina ya " groupings based on ethnicity", kamwe hamuwezi kufikia muafaka namna hii. Kwanini msiseme kwamba mijadala ifanyike mwenye
1)Civil societies
2) Academic institutions
3) NGOs
4)Villages
5)Workers unions
6)Kenyans abroad
 
Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
Kinacho wa https://jamii.app/JFUserGuide wakenya all the time ni Ukabili hakuna kingine....
 
Hakuna kiongozi serikalini anatumia bunduki kuiba ,wote wanaiba kwa hutumia akili Kama serikali ya Kenya Kuna wezi Uhuru ni mwizi namba 1 , juzi tu benki yake imepewa mabilioni ya pesa na benki kuu eti kupeana mikopo kwa wananchi , mbona benki nyengine haingepewa hio kontrakt anapewa yeye? Dadake aliiba billion tano afya house akasuply hewa , kwani huo sio wizi? Au nyie ni kengeza mnaona mengine, mengine hamyaoni? Kama tatizo lipo na ndio litatuliwe lazima muwe wakweli acheni unafiki ,huyo Uhuru wenu eti anaunganisha wakenya kwani wakenya hawaishi pamoja ? Uhasama Kati ya Kenyatta na odinga wenyewe wanajua ulianzia wapi kwa hivyo wasituhusishe wakenya ni makabila 44 Wala sio kikuyu na jaluo .
 
Hapo ni nyeri. Uhuruto wanamaliza yule mzee wa vitendawili once and for all,BBI ndio kaburi lake kajichimbia mwenyewe.
Your browser is not able to display this video.
 
Duh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?
Tehetehetehe
Sisi wabongo tuko na nyie ktk Jf lakini tunaijua Kenya mpaka vizuri.
Na hapa sijaiweka analysis vizuri

Lakini nilichoandika ndivo iko hivo siasa za Kenya zinakwenda kwa kanda (Kabila)
 
Hao ni wabunge ambao wanamuunga Ruto mkono ,halafu kilaza anapanua domo lake kusema Ruto Hana watu central. Hapo ni nyeri
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: Oii
Hizi tofauti zenu za kila mmoja kumshutumu mwengine kwa misingi ya eneo au kabila yake ndio tatizo kubwa kwa wakenya kwasasa, ufumbuzi wake sio katiba mpya wala "BBI document". Hili ni tatizo la kijamii lililoingia katika siasa na uchumi wa Kenya, linahitaji uwekezaji mkubwa sana kupambana nalo.
 
Hao ni wabunge ambao wanamuunga Ruto mkono ,halafu kilaza anapanua domo lake kusema Ruto Hana watu central.Hapo ni nyeriView attachment 1277196
Hili sasa ndio tatizo la Kenya, kila kabila linatengeneza " coalition" ambayo inaunga mkono mtu wao, hivi vikao vya aina hii vinazidi kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila na maeneo.

Kama alivyowashauri Prof. Kabudi, katika hili, Kenya mnapaswa kuja kujifunza jinsi Nyerere alivyoweza kuushinda ukabila, hai kuwa kazi ndogo, alipambana sana. Makundi kama haya, Nyerere angeyakataa.
 
😛😛

Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.


Hahaha nilikuwa sijawahi kufikiria maana ya huo msemo wa kuku na mayai yake.
 
Simshutumu yeyote kulingana na eneo lake la kuzaliwa ,tembea angalau Kenya ujione uwe na first hand information sio hizi za mtandao na ambazo hazina ukweli ,tatizo la Kenya linaletwa na familia mbili , familia ya odinga na Kenyatta ile siku wataacha siasa haswa odingas family kenya itatulia ,huu umwambafai mwambafai wa hizi jamii mbili ya kikuyu na luo ndio mwiba kwa Kenya .
 
Chanzo ni Kenyatta senior,alipoambiwa na nyerere waunganishe Kenya na Tanganyika na Zanzibar iwe nchi moja , nyerere aliona watu wamoja ,jamii moja , kabila moja yeye akaona nafasi ya kuiba mashamba ,alijua wakiungana hatapata hio nafasi ya kunyakua viwanja,angenyakua ndio maana kulingana na mapendekezo ya nyerere Kenyatta angekua rais lakini hangeiba kwa kuwango kikubwa,pili pia aliendeleza ile sera ya mkoloni ya divide and rule ,alipata upinzani baada ya Uhuru kutoka kwa odinga na ndio aweze kuongoza alitumia mbinu ya divide and rule.
 
Hadi ninaogopa kutoa maoni yangu, japo ni ukweli mtupu uliosema, lakini sidhani kama wenzako watakuelewa, subiri matusi kama yote vile toka upande wa pili.
cc. Tony254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…