Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahaaaahhh umeona jinsi watz tulivyo very smart mukenya iko shangaa kwa amazing [emoji44]Duh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaahhh umeona jinsi watz tulivyo very smart mukenya iko shangaa kwa amazing [emoji44]Duh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?
I support 100%.😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
,Uhuru na Ruto wanamchezea shere tu RailaKwa maoni yangu huyo Ruto anaonekana ni mtu smart sana kichwani, kwa maana hii yote ni kujaribu kumzuia asiwe Raisi, ni nguvu kubwa sana inatumika mpaka kutaka kubadilisha Katiba sababu yake?
Lini utahamia Tanzania, nimekandalia Shamba na mkeI support 100%.
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts r more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!
He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
Ruto hana wapiga kura wa kutosha ni.mpaka kuwe na coalition ya kikanda.
Yaani kama hatakaa sahani moja.na kina Jumwa na kina Balala kutoka Pwani na Lamu, akina Mudavadi kutokea hapa kati kusini, lakini pia apate someone kutokea kisii kuja Migori hawezi kushinda.
Ruto hawezi pata kitu nyanza kabisa bila Raila pia
Central ampate Kalonzo Musyoka labda
Back to their roots, sijui kwanini Kenya mnaruhusu hii aina ya " groupings based on ethnicity", kamwe hamuwezi kufikia muafaka namna hii. Kwanini msiseme kwamba mijadala ifanyike mwenyeI support 100%.
Kinacho wa https://jamii.app/JFUserGuide wakenya all the time ni Ukabili hakuna kingine....Kenya hata waandike katiba 100, hawawezi kueleqana. Tatizo la wakenya lipo sehemu mbili
1)Kila mkenya anadhani anajua kila kitu, na anadhani watu wengine wote hawajui lolote
2)Wakenya wamezidi kulalamika sana, wakati wote wanahisi wao wanaonewa.
Hakuna kiongozi serikalini anatumia bunduki kuiba ,wote wanaiba kwa hutumia akili Kama serikali ya Kenya Kuna wezi Uhuru ni mwizi namba 1 , juzi tu benki yake imepewa mabilioni ya pesa na benki kuu eti kupeana mikopo kwa wananchi , mbona benki nyengine haingepewa hio kontrakt anapewa yeye? Dadake aliiba billion tano afya house akasuply hewa , kwani huo sio wizi? Au nyie ni kengeza mnaona mengine, mengine hamyaoni? Kama tatizo lipo na ndio litatuliwe lazima muwe wakweli acheni unafiki ,huyo Uhuru wenu eti anaunganisha wakenya kwani wakenya hawaishi pamoja ? Uhasama Kati ya Kenyatta na odinga wenyewe wanajua ulianzia wapi kwa hivyo wasituhusishe wakenya ni makabila 44 Wala sio kikuyu na jaluo .😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
Hapo ni nyeri. Uhuruto wanamaliza yule mzee wa vitendawili once and for all,BBI ndio kaburi lake kajichimbia mwenyewe.😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
Wakenya wananielewa vizuri sana ktk hiliDah, hapo umekwenda mbali sana na umenichanganya na hizo formula, lkn nimekupata ulichomaanisha!
TeheteheteheDuh mbona unajua siasa ya Kenya kunishinda?
Hapo ni nyeriBack to their roots, sijui kwanini Kenya mnaruhusu hii aina ya " groupings based on ethnicity", kamwe hamuwezi kufikia muafaka namna hii. Kwanini msiseme kwamba mijadala ifanyike mwenye
1)Civil societies
2) Academic institutions
3) NGOs
4)Villages
5)Workers unions
6)Kenyans abroad
Hizi tofauti zenu za kila mmoja kumshutumu mwengine kwa misingi ya eneo au kabila yake ndio tatizo kubwa kwa wakenya kwasasa, ufumbuzi wake sio katiba mpya wala "BBI document". Hili ni tatizo la kijamii lililoingia katika siasa na uchumi wa Kenya, linahitaji uwekezaji mkubwa sana kupambana nalo.Hakuna kiongozi serikalini anatumia bunduki kuiba ,wote wanaiba kwa hutumia akili Kama serikali ya Kenya Kuna wezi Uhuru ni mwizi namba 1 , juzi tu benki yake imepewa mabilioni ya pesa na benki kuu eti kupeana mikopo kwa wananchi , mbona benki nyengine haingepewa hio kontrakt anapewa yeye? Dadake aliiba billion tano afya house akasuply hewa , kwani huo sio wizi? Au nyie ni kengeza mnaona mengine, mengine hamyaoni? Kama tatizo lipo na ndio litatuliwe lazima muwe wakweli acheni unafiki ,huyo Uhuru wenu eti anaunganisha wakenya kwani wakenya hawaishi pamoja ? Uhasama Kati ya Kenyatta na odinga wenyewe wanajua ulianzia wapi kwa hivyo wasituhusishe wakenya ni makabila 44 Wala sio kikuyu na jaluo .
Hili sasa ndio tatizo la Kenya, kila kabila linatengeneza " coalition" ambayo inaunga mkono mtu wao, hivi vikao vya aina hii vinazidi kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila na maeneo.Hao ni wabunge ambao wanamuunga Ruto mkono ,halafu kilaza anapanua domo lake kusema Ruto Hana watu central.Hapo ni nyeriView attachment 1277196
😛😛
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
Simshutumu yeyote kulingana na eneo lake la kuzaliwa ,tembea angalau Kenya ujione uwe na first hand information sio hizi za mtandao na ambazo hazina ukweli ,tatizo la Kenya linaletwa na familia mbili , familia ya odinga na Kenyatta ile siku wataacha siasa haswa odingas family kenya itatulia ,huu umwambafai mwambafai wa hizi jamii mbili ya kikuyu na luo ndio mwiba kwa Kenya .Hizi tofauti zenu za kila mmoja kumshutumu mwengine kwa misingi ya eneo au kabila yake ndio tatizo kubwa kwa wakenya kwasasa, ufumbuzi wake sio katiba mpya wala "BBI document". Hili ni tatizo la kijamii lililoingia katika siasa na uchumi wa Kenya, linahitaji uwekezaji mkubwa sana kupambana nalo.
Hili sasa ndio tatizo la Kenya, kila kabila linatengeneza " coalition" ambayo inaunga mkono mtu wao, hivi vikao vya aina hii vinazidi kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila na maeneo.
Kama alivyowashauri Prof. Kabudi, katika hili, Kenya mnapaswa kuja kujifunza jinsi Nyerere alivyoweza kuushinda ukabila, hai kuwa kazi ndogo, alipambana sana. Makundi kama haya, Nyerere angeyakataa.
Hadi ninaogopa kutoa maoni yangu, japo ni ukweli mtupu uliosema, lakini sidhani kama wenzako watakuelewa, subiri matusi kama yote vile toka upande wa pili.Chanzo ni Kenyatta senior,alipoambiwa na nyerere waunganishe Kenya na Tanganyika na Zanzibar iwe nchi moja , nyerere aliona watu wamoja ,jamii moja , kabila moja yeye akaona nafasi ya kuiba mashamba ,alijua wakiungana hatapata hio nafasi ya kunyakua viwanja,angenyakua ndio maana kulingana na mapendekezo ya nyerere Kenyatta angekua rais lakini hangeiba kwa kuwango kikubwa,pili pia aliendeleza ile sera ya mkoloni ya divide and rule ,alipata upinzani baada ya Uhuru kutoka kwa odinga na ndio aweze kuongoza alitumia mbinu ya divide and rule.