Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Yap hili la mgawanyo ni tatizo Tanzania .Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...
Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
There well be consequences, my Kenyan friend once said Ruto is architecture of all most Kenyatta's political manoeuvre. He is not elite by blood but he made his way in. After all, which tribe will Kikuyu join hands with to win the votes? Let's wsut and see!Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts Kalenjins r always more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!
He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
Wacha kumtetea ruto wewe....
Wote ni wezi...
Uhuru hafai
Ruto hafai
Raila ndio kadhalika
Nitapigia kura kitu fresh mara hii, hzo familia nazifyekelea mbali
Achana na ujinga wa watu wachache huku social networks,
Kuja huku mitaani unioneshe hao watu waliogawanyika kama nyie mlivyogawanyika Kutokana na ukabila.
Kwa nini unamention Odingas family pekee.
Hivi wakikuyu wamewapa nini nyie, au unafikiri at kwa kuwa unatokea Eldoret ile SGR to no where itasogezwa mbele ifikie Eld????
Wakenya ukabila utawaatafuna na hamtabaki salama mpaka wote Mconfess
Mjiandae JOMO junior anatengenezwanl kurithi kiti miaka ijayo
Kwa nini unamention Odingas family pekee.
Hivi wakikuyu wamewapa nini nyie, au unafikiri at kwa kuwa unatokea Eldoret ile SGR to no where itasogezwa mbele ifikie Eld????
Wakenya ukabila utawaatafuna na hamtabaki salama mpaka wote Mconfess
.Mi nashngaa bado kuna watu wanamfagilia rutto...kw lipi haswa, km ni uhuru na raila kwishnehi...BBI imewapiga chenga, labda mmoja apiganie urais na mwengine ajishushe hadhi apiganie ubunge ndipo aone km atakua waziri mkuu hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwahahaaaa!!punguza jazba jomba...wanaitisha nn kwanza, km ni matatu nairobi zina number na makanga hutumia sheng[emoji1787][emoji1787]Jamaa yangu kamata Matatuz hapo kama hutakuta Makanga wanaitisha kilugha mida hii
Wote hao uliowataja fyekelea mbali...Mfagilie Uhuru ,moi na Raila maana hao sio wafisadi ..
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...
Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
Me too ,kama hakuna fresh blood kama Bobbi Wine sipigi kura,
Hawa wote wa sahii ni manuguu tu
Wote hao uliowataja fyekelea mbali...
Sai tunataka kitu fresh, mafisadi na ma cartel wote chinja chinja...
Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..Hebu nitajie hao fresh nikina Nani? Ndio maana nikasema tuwe wakweli, kwa wale wote ambao wameonesha Nia ya kuwania urais ni yupi ambaye Hana thuhuma za ufisadi ? We unaona sahi watu wanaimba odinga na Kenyatta halafu useme atatokea fresh blood, hata Kama wao hawataongoza atakae ongoza ni mmoja wao ambaye watamuunga mkono.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
What about zimbabwe, sudan, uganda nkNot Really, Moshi ni Northern but ni CCM, Iringa na Mbeya ni Southern but ni Chadema.
Hata kama, Vyama ni Rahisi kudeal navyo even in Future, this will be resolved in time, not ethnicity mkuu, do you see what happens in Ethiopia?
Nadhani hujamuelewa huyo mwenzako kitu anachomaanisha, jaribu kusoma post zake kwa makini kabla ya kumjibu, anazungumza kuhusu hali ilivyo kwasasa huko Kenya, kwamba bado watu ni walewale, hakuna watu wapya katika siasa za Kenya, yeye pia angependa kuwepo na watu wapya ili awapigie kura, lakini kwasasa hivi, bado hakuna watu wapya wenye nguvu kuweza kuwapita hao aliowataja.Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..
Kuna post uliandika "wakenya ndio huchagua wakora kisha wanalalamika baadae" km sikosei..
Km ni mambo na kumpigia kura atakayeungwa mkono na hao wakora, basi tutaibiwa sana na bado nakwambia
Kwn wewe huaga unaelewa vitu, sasa anapoongelea siasa za nguvu si bado itakua ana support wahuni...Nadhani hujamuelewa huyo mwenzako kitu anachomaanisha, jaribu kusoma post zake kwa makini kabla ya kumjibu, anazungumza kuhusu hali ilivyo kwasasa huko Kenya, kwamba bado watu ni walewale, hakuna watu wapya katika siasa za Kenya, yeye pia angependa kuwepo na watu wapya ili awapigie kura, lakini kwasasa hivi, bado hakuna watu wapya wenye nguvu kuweza kuwapita hao aliowataja.
😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.
Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.
Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..
Kuna post uliandika "wakenya ndio huchagua wakora kisha wanalalamika baadae" km sikosei..
Km ni mambo na kumpigia kura atakayeungwa mkono na hao wakora, basi tutaibiwa sana na bado nakwambia
Nadhani hujamuelewa huyo mwenzako kitu anachomaanisha, jaribu kusoma post zake kwa makini kabla ya kumjibu, anazungumza kuhusu hali ilivyo kwasasa huko Kenya, kwamba bado watu ni walewale, hakuna watu wapya katika siasa za Kenya, yeye pia angependa kuwepo na watu wapya ili awapigie kura, lakini kwasasa hivi, bado hakuna watu wapya wenye nguvu kuweza kuwapita hao aliowataja.