BBI, Handshake breakdown Ruto and Uhuru relations

Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...

Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania
Yap hili la mgawanyo ni tatizo Tanzania .

Ila linaweza soviwa

Ila ukabila ukijikita mizizi no hatari Sana rejea Rwanda na Burundi pamoja na Sudan kusini
 
Ila Wakalenjin ni noma they r most feared tribe in Kenya! When it comes to conflicts Kalenjins r always more organised than all the tribes n their warriors like nature never disappoints! Don't count them out yet as they can bring Kenya upside down. Tatizo he did come from elite class!

He doesn't belong to the dynasty i.e. the Mois, Kenyattas n Odingas. Just like Kibaki, his ascend to power came as a result of circumstances at the time. A thing he knew but he thought he could buy support when time comes. I am not sure if that will be possible as the dynasty is openly ganging against him.
There well be consequences, my Kenyan friend once said Ruto is architecture of all most Kenyatta's political manoeuvre. He is not elite by blood but he made his way in. After all, which tribe will Kikuyu join hands with to win the votes? Let's wsut and see!
 
Simtetei yeyote lakini tuwache unafiki, Mtu asije hapa kusema eti Ruto ni mwizi maana hampendi halafu Uhuru ni malaika kwa sababu ndio wako, tukitaka tuwe na taifa Bora Wala sio Bora taifa lazima tuwe impartial and non partisan when it comes to the fight against corruption ,but what is happening currently ni ujinga tu no corruption that can be fought that way, let's be realistic.
Wacha kumtetea ruto wewe....
Wote ni wezi...

Uhuru hafai
Ruto hafai
Raila ndio kadhalika

Nitapigia kura kitu fresh mara hii, hzo familia nazifyekelea mbali

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
We boya Mimi sitoki eldoret Wala bonde la ufaa,Mimi binafsi namuona odinga Kama ndio chanzo Cha vurugu Kenya na historia ipo wazi,Vita vya vilianza 1966 na hadi Sasa bado Kuna mgogoro wa kisiasa Kenya ukiongozwa na familia yake.
Kwa nini unamention Odingas family pekee.
Hivi wakikuyu wamewapa nini nyie, au unafikiri at kwa kuwa unatokea Eldoret ile SGR to no where itasogezwa mbele ifikie Eld????

Wakenya ukabila utawaatafuna na hamtabaki salama mpaka wote Mconfess

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Mna bahati huyo jamaa hakuzaliwa Tanzania maana angezaliwa huko haya matatizo ambayo tunayo yangewapata huko.
Kwa nini unamention Odingas family pekee.
Hivi wakikuyu wamewapa nini nyie, au unafikiri at kwa kuwa unatokea Eldoret ile SGR to no where itasogezwa mbele ifikie Eld????

Wakenya ukabila utawaatafuna na hamtabaki salama mpaka wote Mconfess

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Mfagilie Uhuru ,moi na Raila maana hao sio wafisadi .
Mi nashngaa bado kuna watu wanamfagilia rutto...kw lipi haswa, km ni uhuru na raila kwishnehi...BBI imewapiga chenga, labda mmoja apiganie urais na mwengine ajishushe hadhi apiganie ubunge ndipo aone km atakua waziri mkuu hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yangu kamata Matatuz hapo kama hutakuta Makanga wanaitisha kilugha mida hii
Bwahahaaaa!!punguza jazba jomba...wanaitisha nn kwanza, km ni matatu nairobi zina number na makanga hutumia sheng[emoji1787][emoji1787]
 
Msijifanye nynyi ni wema...
Tanzania pia si mmegawanyika kw misingi ya vyama...

Utakuta region flani ni ccm tu, kw mfano chadema utawapata northern tanzania

Not Really, Moshi ni Northern but ni CCM, Iringa na Mbeya ni Southern but ni Chadema.
Hata kama, Vyama ni Rahisi kudeal navyo even in Future, this will be resolved in time, not ethnicity mkuu, do you see what happens in Ethiopia?
 
Me too ,kama hakuna fresh blood kama Bobbi Wine sipigi kura,
Hawa wote wa sahii ni manuguu tu

A reason I love Millennials, They always Reason,
Haya mawazo pevu ndiyo yataokoa jamii zetu na Watoto wetu na Wajukuu zetu,
At any point there should be no clan or family thinking of having the ruling rights in our Countries,
Hata hapa tz hiyo kitu ilianza kujengeka wakati wa Jakaya, It was then suckerpunched by Magufuli coming into power.. na ameenda mbali zaidi amevuruga misingi ovu iliyoanza kujengeka, the Moment Kenyans will have one say against these Railas, Kenyattas and Ruttos things will be different. But this is not easy as the roots of ethnicity bolds the continued domination of Royal Families.
 
Hebu nitajie hao fresh nikina Nani? Ndio maana nikasema tuwe wakweli, kwa wale wote ambao wameonesha Nia ya kuwania urais ni yupi ambaye Hana thuhuma za ufisadi ? We unaona sahi watu wanaimba odinga na Kenyatta halafu useme atatokea fresh blood, hata Kama wao hawataongoza atakae ongoza ni mmoja wao ambaye watamuunga mkono.
Wote hao uliowataja fyekelea mbali...
Sai tunataka kitu fresh, mafisadi na ma cartel wote chinja chinja...

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hebu nitajie hao fresh nikina Nani? Ndio maana nikasema tuwe wakweli, kwa wale wote ambao wameonesha Nia ya kuwania urais ni yupi ambaye Hana thuhuma za ufisadi ? We unaona sahi watu wanaimba odinga na Kenyatta halafu useme atatokea fresh blood, hata Kama wao hawataongoza atakae ongoza ni mmoja wao ambaye watamuunga mkono.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..

Kuna post uliandika "wakenya ndio huchagua wakora kisha wanalalamika baadae" km sikosei..
Km ni mambo na kumpigia kura atakayeungwa mkono na hao wakora, basi tutaibiwa sana na bado nakwambia
 
Not Really, Moshi ni Northern but ni CCM, Iringa na Mbeya ni Southern but ni Chadema.
Hata kama, Vyama ni Rahisi kudeal navyo even in Future, this will be resolved in time, not ethnicity mkuu, do you see what happens in Ethiopia?
What about zimbabwe, sudan, uganda nk
 
Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..

Kuna post uliandika "wakenya ndio huchagua wakora kisha wanalalamika baadae" km sikosei..
Km ni mambo na kumpigia kura atakayeungwa mkono na hao wakora, basi tutaibiwa sana na bado nakwambia
Nadhani hujamuelewa huyo mwenzako kitu anachomaanisha, jaribu kusoma post zake kwa makini kabla ya kumjibu, anazungumza kuhusu hali ilivyo kwasasa huko Kenya, kwamba bado watu ni walewale, hakuna watu wapya katika siasa za Kenya, yeye pia angependa kuwepo na watu wapya ili awapigie kura, lakini kwasasa hivi, bado hakuna watu wapya wenye nguvu kuweza kuwapita hao aliowataja.
 
Kwn wewe huaga unaelewa vitu, sasa anapoongelea siasa za nguvu si bado itakua ana support wahuni...
 
😛😛 nimekutukana hapa JF miaka mingi lakini kuna ukweli kwenye comment yako, Kwa sasa hivi shida ya Kenya sio katiba au sheria, ni wananchi ambao wanachagua wakora, halafu uchaguzi ukikwisha hivi wanaanza kulalamika kuhusu wizi wa mali ya umma, ilhali walijua vyema mtu ni mwizi.

Kilio halisi cha wakenya kitaanzia 2022, Ruto ni mwizi, atakula kuku na mayai yake.. at least saa hii mayai ndiyo inaibiwa, kuku akiendelea kutaga.

Naona jinsi mnavyomuandama Ruto sijui amewadhulumu nini enyi wakikuyu. Urais ni haki ya mkenya yeyote bila kujali kabila lake. Awe mpokoti, mjaluo, mnandi nk. Wote wana haki sawa.
 
Sio kwa hichi kizazi ambacho kinasomewa BBI report na viongozi wao ili waweze kuwapa mwelekeo.
Hyo ndio shida yetu waafrika, yani siku zote hatuwezi jiamlia kitu..sasa unaposema atapita mwnye ataungwa mkono, si bado tu tutakua tunaendeleza zile zile siasa za lelemama ..

Kuna post uliandika "wakenya ndio huchagua wakora kisha wanalalamika baadae" km sikosei..
Km ni mambo na kumpigia kura atakayeungwa mkono na hao wakora, basi tutaibiwa sana na bado nakwambia
 
Thank you for understanding me,huyo ndugu yangu hanielewi kabisa.

Back
Top Bottom