BBI process declared unconstitutional by high court

BBI process declared unconstitutional by high court

All hail those Kenyan judges yesterday.

I like what the BBI is trying to do but amending the constitution is not an essay where anyone gets to edit whatever they feel like editing

Follow the process and DO.IT.RIGHT!!!
 
BBI is a very good document for Kenyatta's Robot voters and Raila's Cows. BBI clearly defines the likes of you as slaves so that you don't have misplaced ideas that you are citizens in country owned by Mzungus and 3 Big families.
BBI lazima itapita mpende msipende, loans will not repay themselves.. slaves will pay
Pole sana mzee baba, we endelea kuomboleza mengine tuachie wenyewe
 
I didn't tell you what you can't say, you can go on calling people "Ruto psychophant" if you want. But some of us oppose the illegal process with which BBI was taken through and we are not taking any sides. Looks like people of your calibre likes putting people into categories. Some of us don't fit into your little tribal categories. The country comes first before tribe for some of us.

Nimeipenda sana hii kauli yako ya kizalendo na kizazi zaidi, tuache matabaka, mara huyu wa chama hiki huyu wa mlengo huu, tujadili hili la BBI na mengine yote kama Wakenya, ikumbukwe anayepinga au kuunga mkono yupo sahihi maana ni haki yake kama mzawa wa nchi hii. Hakuna kati yetu mwenye haki kuwazidi wengine, huu mswada utatuhusu sisi na vizazi vijavyo miaka 100 hata baada yetu kuondoka dunia hii, hivyo muhimu tukahakikisha hatua zote zimezingatiwa kwenye misingi ya kisheria.

Binafsi huwa nachukia sana ukiukwaji wa sheria hata kama nitanufaika, maana kuanza kuendekeza michepuko ya kisheria ndio mwanzo wa kuitumbukiza nchi yetu kwenye machafuko na historia itatuhukumu.
Rais Uhuru amebugi kishenzi kwenye hili, yaani hadi likataliwe na majaji ina maana washauri wake wa masuala ya sheria walimpotosha, inaniuma sana kama huu mswada utapigwa chini hatimaye, maana kwangu mimi nimeridhia kwa mengi yaliyomo humo.
 
Kazi ya wabunge pale bungeni ni nini, unajua kwann waliitwa wawakilishi..yale mafuta wanayojaziwa full tank kw ajili ya kutembelea maeneo yao bunge waliyatumiajw..hii nchi sio ya walevi basi eti kila mtu anajiropokea tu, unajua hata matahira nao wamo katika kundi la wachache..

We km mbunge wako hakuwahamasisha watu wake alafu mwisho wa siku akapitisha basi kamlaumu..
Alafu nilichogundua BBI inaendeshwa kw misingi ya kijamii sana wala sio kw ajili ya maslahi ya nchi yetu pendwa
Mbunge Kuja eneo langu na kuniambia BBI ni nzuri kwa Kenya si uhamsisho! Hio ni campaign.
Hio taskforce ilipotunga hizo Sheria baada ya kuchukua maoni ya watu ulikua inafaa Sasa ndo irudi mashinani kujadiliana na wananchi kwa Kila wadi na eneo bunge! Sheria lazima ifwatwe hakuna short cut hapa.
Na wabunge Wana njia yao ya kugeuza katiba kama wanataka kugeuza, wasitumie njia ya wananchi!
 
Mkuu kuhamasisha sio campaign, alafu nilivyosema pale mwisho wakenya wengi BBI wanaifuata kw mkumbo tu(jamii, maslahi binafsi, ukabila).

Turudi tena katika wabunge, kazi ya wabunge ni kutembelea maeneo bunge ili kuchukua kero za wananchi na pia kuwaelimisha jinsi mambo yanavyokwenda wala sio kuwalazimisha..

Lkn kw tanga tanga na wale wazee wa kenyatta na odinga tatizo lao wanakuja kufanya rally na mi convoy full security huku hakuna la maana wanalosema zaidi ya kusema tunaunga na wa pande ile BBI haifai katika taifa letu..
Alafu unakuta mtu analalamika mbona haijapelekwa kw raia wa kawaida ndio watoe maoni yao, maoni ndio aletewe mtu ambae mwansiasa akisema yeye ndio au hapa manake kaja na convoy huku wengi hata hyo BBI hawajaisoma na ipo huku wabunge nao wanatumia hyo fursa kw ajili ya utahira wao kufinyilia hoja zao(kuunga na kupinga)
TUJIANGALIE
 
All hail those Kenyan judges yesterday.

I like what the BBI is trying to do but amending the constitution is not an essay where anyone gets to edit whatever they feel like editing

Follow the process and DO.IT.RIGHT!!!
Tutangoja sana basi km mnasubiria wananchi wa kawaida km watatoa mwongozo kuhusu lolote lile katika katiba yetu..
Km watu ni hawa wa kuunga na kupinga kw ajili ya flani kasema au mtu wetu kasema..ole wetu wakenya
 
Kitu ambacho wakenya wengi wanasahau ni kwamba hao hao wananchi wa kawaida ndio waliibuka na draft ya katiba mpya ya Kenya 2010. Ambayo ilikubalika na wakenya wote na ndio ikaja ikawa katiba hii hii wanayojaribu kuivuruga sasa hivi. Chini ya mfumo wa delegates, ambao ulitoa wawakilishi kwenye dini zote, matabaka yote na jamii zote kote nchini, wakenya walifanikiwa kubadilisha mfumo wote wa sheria na uongozi nchini Kenya.

Alafu eti miaka kumi baadaye rais Uhuru, Rt. Hon. Raila na wafia vyama wenzao wanatuandalia kamati ya maflower girl wao wa kisiasa. Kisha wanajaribu kutuhadaa kwamba wao ndio wanaelewa vizuri marekebisho yanayohitajika kwenye katiba. Upuuzi upuuzi tu!
 
Katiba kupigwa msasa lazima, alafu mbona nkm umekuja kishabiki sana manake nashngaa watu wanatoa point zinazohusu sehemu zite mbili wewe umekuja kukejeli..

Anyway na support BBI kw sababu nimeisoma na ina muelekeo kw maisha ya hapo mbele, pia vile vile naipinga kwa sababu jamaa wanataka kuipeleka kimihemko na kijamii snaa ambapo hilo litapelekea huo mswada kutumika vibaya..

Huo mswada unatakiwa upelekwe kiuelewa zaidi wala sio kisiasa, kikabila, ulafi wa madaraka, ubabe na ki campaign zaidi
 
Miguna Miguna anacheza kama yeye😂😂😂😂
IMG-20210515-WA0019.jpg
 
Katiba kupigwa msasa lazima, alafu mbona nkm umekuja kishabiki sana manake nashngaa watu wanatoa point zinazohusu sehemu zite mbili wewe umekuja kukejeli..

Anyway na support BBI kw sababu nimeisoma na ina muelekeo kw maisha ya hapo mbele, pia vile vile naipinga kwa sababu jamaa wanataka kuipeleka kimihemko na kijamii snaa ambapo hilo litapelekea huo mswada kutumika vibaya..

Huo mswada unatakiwa upelekwe kiuelewa zaidi wala sio kisiasa, kikabila, ulafi wa madaraka, ubabe na ki campaign zaidi
Maoni yangu na yako, kuhusu BBI, yanaendana kwa sana. Kwahivyo hamna haja ya majibizano na malumbano. Tofauti kati yetu ni kwamba linapokuja kwenye suala nyeti linalogusa taifa la Kenya, km. katiba. Huwa sina muda na hawa kupe wanaojiita wanasiasa. Sio rais UK na Raila, ambao wanaona wana haki zaidi ya wakenya wengine, wala vinyangarika na wauza sura wenzao wengine kama DP Ruto, Mudavadi, Wetangula na sijui kina Lonyangapuo.
 
Yani kiufupi, naomba sana atokee mtu from nowhere kijana kijana ambae hana roots na chama cha KANU alafu wakenya tumpe support ya kutosha atleast tuwaondoea looters kwanza hata km tutayumba ndani ya miaka mitano lkn angalau mambo ya dynasty sijui na nini yatakua tumeshaanza kuyapiga na chini
 
Back
Top Bottom