Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mzee baba, we endelea kuomboleza mengine tuachie wenyeweBBI is a very good document for Kenyatta's Robot voters and Raila's Cows. BBI clearly defines the likes of you as slaves so that you don't have misplaced ideas that you are citizens in country owned by Mzungus and 3 Big families.
BBI lazima itapita mpende msipende, loans will not repay themselves.. slaves will pay
I didn't tell you what you can't say, you can go on calling people "Ruto psychophant" if you want. But some of us oppose the illegal process with which BBI was taken through and we are not taking any sides. Looks like people of your calibre likes putting people into categories. Some of us don't fit into your little tribal categories. The country comes first before tribe for some of us.
Mbunge Kuja eneo langu na kuniambia BBI ni nzuri kwa Kenya si uhamsisho! Hio ni campaign.Kazi ya wabunge pale bungeni ni nini, unajua kwann waliitwa wawakilishi..yale mafuta wanayojaziwa full tank kw ajili ya kutembelea maeneo yao bunge waliyatumiajw..hii nchi sio ya walevi basi eti kila mtu anajiropokea tu, unajua hata matahira nao wamo katika kundi la wachache..
We km mbunge wako hakuwahamasisha watu wake alafu mwisho wa siku akapitisha basi kamlaumu..
Alafu nilichogundua BBI inaendeshwa kw misingi ya kijamii sana wala sio kw ajili ya maslahi ya nchi yetu pendwa
Mkuu kuhamasisha sio campaign, alafu nilivyosema pale mwisho wakenya wengi BBI wanaifuata kw mkumbo tu(jamii, maslahi binafsi, ukabila).Mbunge Kuja eneo langu na kuniambia BBI ni nzuri kwa Kenya si uhamsisho! Hio ni campaign.
Hio taskforce ilipotunga hizo Sheria baada ya kuchukua maoni ya watu ulikua inafaa Sasa ndo irudi mashinani kujadiliana na wananchi kwa Kila wadi na eneo bunge! Sheria lazima ifwatwe hakuna short cut hapa.
Na wabunge Wana njia yao ya kugeuza katiba kama wanataka kugeuza, wasitumie njia ya wananchi!
Tutangoja sana basi km mnasubiria wananchi wa kawaida km watatoa mwongozo kuhusu lolote lile katika katiba yetu..All hail those Kenyan judges yesterday.
I like what the BBI is trying to do but amending the constitution is not an essay where anyone gets to edit whatever they feel like editing
Follow the process and DO.IT.RIGHT!!!
Kitu ambacho wakenya wengi wanasahau ni kwamba hao hao wananchi wa kawaida ndio waliibuka na draft ya katiba mpya ya Kenya 2010. Ambayo ilikubalika na wakenya wote na ndio ikaja ikawa katiba hii hii wanayojaribu kuivuruga sasa hivi. Chini ya mfumo wa delegates, ambao ulitoa wawakilishi kwenye dini zote, matabaka yote na jamii zote kote nchini, wakenya walifanikiwa kubadilisha mfumo wote wa sheria na uongozi nchini Kenya.Tutangoja sana basi km mnasubiria wananchi wa kawaida km watatoa mwongozo kuhusu lolote lile katika katiba yetu..
Km watu ni hawa wa kuunga na kupinga kw ajili ya flani kasema au mtu wetu kasema..ole wetu wakenya
Katiba kupigwa msasa lazima, alafu mbona nkm umekuja kishabiki sana manake nashngaa watu wanatoa point zinazohusu sehemu zite mbili wewe umekuja kukejeli..Kitu ambacho wakenya wengi wanasahau ni kwamba hao hao wananchi wa kawaida ndio waliibuka na draft ya katiba mpya ya Kenya 2010. Ambayo ilikubalika na wakenya wote na ndio ikaja ikawa katiba hii hii wanayojaribu kuivuruga sasa hivi. Chini ya mfumo wa delegates, ambao ulitoa wawakilishi kwenye dini zote, matabaka yote na jamii zote kote nchini, wakenya walifanikiwa kubadilisha mfumo wote wa sheria na uongozi nchini Kenya.
Alafu eti miaka kumi baadaye rais Uhuru, Rt. Hon. Raila na wafia vyama wenzao wanatuandalia kamati ya maflower girl wao wa kisiasa. Kisha wanajaribu kutuhadaa kwamba wao ndio wanaelewa vizuri marekebisho yanayohitajika kwenye katiba. Upuuzi upuuzi tu!
Maoni yangu na yako, kuhusu BBI, yanaendana kwa sana. Kwahivyo hamna haja ya majibizano na malumbano. Tofauti kati yetu ni kwamba linapokuja kwenye suala nyeti linalogusa taifa la Kenya, km. katiba. Huwa sina muda na hawa kupe wanaojiita wanasiasa. Sio rais UK na Raila, ambao wanaona wana haki zaidi ya wakenya wengine, wala vinyangarika na wauza sura wenzao wengine kama DP Ruto, Mudavadi, Wetangula na sijui kina Lonyangapuo.Katiba kupigwa msasa lazima, alafu mbona nkm umekuja kishabiki sana manake nashngaa watu wanatoa point zinazohusu sehemu zite mbili wewe umekuja kukejeli..
Anyway na support BBI kw sababu nimeisoma na ina muelekeo kw maisha ya hapo mbele, pia vile vile naipinga kwa sababu jamaa wanataka kuipeleka kimihemko na kijamii snaa ambapo hilo litapelekea huo mswada kutumika vibaya..
Huo mswada unatakiwa upelekwe kiuelewa zaidi wala sio kisiasa, kikabila, ulafi wa madaraka, ubabe na ki campaign zaidi
Yani kiufupi, naomba sana atokee mtu from nowhere kijana kijana ambae hana roots na chama cha KANU alafu wakenya tumpe support ya kutosha atleast tuwaondoea looters kwanza hata km tutayumba ndani ya miaka mitano lkn angalau mambo ya dynasty sijui na nini yatakua tumeshaanza kuyapiga na chiniMaoni yangu na yako, kuhusu BBI, yanaendana kwa sana. Kwahivyo hamna haja ya majibizano na malumbano. Tofauti kati yetu ni kwamba linapokuja kwenye suala nyeti linalogusa taifa la Kenya, km. katiba. Huwa sina muda na hawa kupe wanaojiita wanasiasa. Sio rais UK na Raila, ambao wanaona wana haki zaidi ya wakenya wengine, wala vinyangarika na wauza sura wenzao wengine kama DP Ruto, Mudavadi, Wetangula na sijui kina Lonyangapuo.