BBI yamsogeza Kenyatta karibu na zawadi ya Nobel na Mo Ibrahim

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko.

Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
 
BBI haina lolote huwezi sema unamaliza ukabila wakati bado kuna tadio na magazeti yanayotumia lugha za kikabila

Pia ujinga mwingine ambao uno ndani ya BBI ni kipengele cha kutaka lugha za makabila makubwa zufundishwe shule za Mungu Kenya!!

Why iwe lugha za makabila makubwa wakati Kenya ina makabila zaidi ya 40?

BBI is hopeless
 
BIB haina lolote huwezi sema unamaliza ukabila wakati bado kuna tadio na magazeti yanayotumia lugha za kikabila...
Sasa ww mwenzako kaandka BBI wewe unaandika BIB vipi tena,, au mwezi wa pili umeingia vibaya!!!!!
 
BIB haina lolote huwezi sema unamaliza ukabila wakati bado kuna tadio na magazeti yanayotumia lugha za kikabila

Pia ujinga mwingine ambao uno ndani ya BIB ni kipengele cha kutaka lugha za makabila makubwa zufundishwe shule za Mungu Kenya!!

Why iwe lugha za makabila makubwa wakati Kenya ina makabila zaidi ya 40?
BIB is hopeless
Hv kwann mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
 
Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko.

Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
Huku tunaye jamaa mkabila kichizi
 
Hv kwa mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
Anadharau sana lugha za Kiafrika. Anaiita hiyo kwamba ni ukabila kufunza watoto wetu lugha za kiasili. Anadhali Kiswahili lugha cha mwarabu kwamba ndio lugha ya Kiafrika.
 
Wakitaka wafaulu wahakikishe rais anatoka kwenye makabila madogo yasiyo na ushawishi wa kikabila na hata baraza la mawaziri na serikali kwa ujumla iakisi sura za kitaifa mdogo mdogo watafika
 
Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko.

Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
RAO hawezi kuwa Rais asilani. Yeye aendelee na ndoto zake. 2022 Mudavadi (Luhya) ataelekea State house kirahisi mno. Huku Naibu Rais akiwa Moses Kuria (KQ)
 
Aawapi fuatilia yanayoendelea naona RAO kapoteza kukubalika kwake! Kuna strong opposition towards BBI haswa ukizingatia hali halisi ya Kenya kiuchumi! A conciliatory third candidate kama Mudavadi anaweza kuchukua ila akijipanga vizuri na ku-benefit ushindani wa hatari wa RAO na Ruto! halafu kumbuka kinachotokea DRC ni ushauri wa RAO best friend wa Rais wa DRC sasa nani anweza kuwa na amani na urais wa RAO?
 
Age ya RAO inamtoa ulingoni
 
Ukiwa madarakani kila kitu kinawezekana Afrika, kushindwa uchaguzi ni uzembe wako. RAO kama ataungwa mkono na Uhuru basi ndiye rais ajae
 
uemoana reaction ya central province? yaani wako baridi towards RAO!
 
wacha kuwa baridi hata wakiwa barafu RAO atakuwa rais kama Rais atamuunga mkono, kwani marais afrika wanachaguliwa?
 
mm naona ruto anayo nafasi kubwa, angalia kwa jicho la upekee utaona, japo is raila akiingia anaweza kuwa rais wa kipindi kimoja
 
Hv kwann mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
Hujamwelewa alivyotoa mtoa maoni hapo juu! Yeye hajakataa lugha hizo kufundishwa mashuleni ila shida ni kwamba kawanini yafundishwe makabila mawili makubwa tu wakati kuna makabila zaidi ya 40 hao wenye makabila ambao hayajaorodheshwa hapo wanajisikiaje!
 
Hv kwann mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
Sio unapungukiwa nini,ni kuligawa taifa,na hazina faida yoyote ile kwenye utengano wa nchi
 
Back
Top Bottom