BBI yamsogeza Kenyatta karibu na zawadi ya Nobel na Mo Ibrahim

BBI yamsogeza Kenyatta karibu na zawadi ya Nobel na Mo Ibrahim

Anadharau sana lugha za Kiafrika. Anaiita hiyo kwamba ni ukabila kufunza watoto wetu lugha za kiasili. Anadhali Kiswahili lugha cha mwarabu kwamba ndio lugha ya Kiafrika.
Nani alikuambia kuwa kiswahili ni lugha ya kiarabu wewe,? Au dish limetikisika?
 
RAO hawezi kuwa Rais asilani. Yeye aendelee na ndoto zake. 2022 Mudavadi (Luhya) ataelekea State house kirahisi mno. Huku Naibu Rais akiwa Moses Kuria (KQ)
Nafasi ya Raila Odinga hiyo deal imeshakuwa sealed....
 
Mbona uhuru alishawahi kuungwa mkono na moi lkn akapigwa chini?
Alipigwa chini kwasababu Moi alimgeuka Odinga....
Odinga akamuunga mkono Kibaki....
siasa za wakati huo wanasema 'Kibaki Tosha'
RAO anabaki kuwa mwanasiasa mwenye nguvu wakati wote
 
Kitu kuzuri anachotakiwa kukifanya kiongozi ni mwenye maono marefu ni kuiunganisha nchi na kuwa na umoja,uzalendo kwa taifa lao,hiki kinachofanyika si ujenzi wa taifa moja la Kenya,bali ni mkakati wa wanasiasa kugawana vyeo na madaraka,mpk sasa kenya inatumia asilimia kubwa ya mapato yake kulipana mishahara na kuongoza serikali,na huo ni mzigo mkubwa sn kwa walipa kodi na uchumi wa nchi,lkn kibaya zaidi wanajaribu kuupasua MOYO wa kenya na kuugawa vipandevipande,mnaweza mkawa nchi moja lkn msiwe taifa moja,hiyo ni habari sn kwa mstakabali wa nchi
 
Hv kwann mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
kweli mkuu kwamba TZ kisukuma, kichaga, na kinyamwezi kifundishwe hata kwa wazaramo,wabende,wanyakyusa,wairaq,wambulu,wajita,wakerewe yaani wote tujifunze lugha za makabila makubwa haya madogo yafe tu hakuna shida
 
Kwa nini umechagua hayo makubwa na madogo unasema lugha zao zife?
 
Lkn hebu nisaidie ndugu,ili taifa uliunganishe na kuwa na umoja,utaifa na mshikamano,unatakiwa ufanye nini?
Kuunganisha taifa siyo sawa na kufunga zipu ya suruali useme ukifanya kitu fulani utakuwa umeunganisha taifa. Inatakiwa mambo mengi kuwe na utawala wa haki, utiifu kwa sheria na mgawanyo wa sawa wa rasilimali
 
kweli mkuu kwamba TZ kisukuma, kichaga, na kinyamwezi kifundishwe hata kwa wazaramo,wabende,wanyakyusa,wairaq,wambulu,wajita,wakerewe yaani wote tujifunze lugha za makabila makubwa haya madogo yafe tu hakuna shida
Ni upumbafu kbs huo,thamani ya makabila imebaki kwenye kutambika tu,na hata mkiwa mnatambika bado mnaweza kuongea lugha ya kiswahili, kwani mzimu hauchagui lugha
 
Back
Top Bottom