NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Nani alikuambia kuwa kiswahili ni lugha ya kiarabu wewe,? Au dish limetikisika?Anadharau sana lugha za Kiafrika. Anaiita hiyo kwamba ni ukabila kufunza watoto wetu lugha za kiasili. Anadhali Kiswahili lugha cha mwarabu kwamba ndio lugha ya Kiafrika.
Mbona uhuru alishawahi kuungwa mkono na moi lkn akapigwa chini?Ukiwa madarakani kila kitu kinawezekana Afrika, kushindwa uchaguzi ni uzembe wako. RAO kama ataungwa mkono na Uhuru basi ndiye rais ajae
Africa Kusini wana Lugha 11, mbona hawajagawanyika?Sio unapungukiwa nini,ni kuligawa taifa,na hazina faida yoyote ile kwenye utengano wa nchi
Nafasi ya Raila Odinga hiyo deal imeshakuwa sealed....RAO hawezi kuwa Rais asilani. Yeye aendelee na ndoto zake. 2022 Mudavadi (Luhya) ataelekea State house kirahisi mno. Huku Naibu Rais akiwa Moses Kuria (KQ)
Alipigwa chini kwasababu Moi alimgeuka Odinga....Mbona uhuru alishawahi kuungwa mkono na moi lkn akapigwa chini?
Mm ni Mkalenjinkwani wewe ni kabila gani?
Lkn hebu nisaidie ndugu,ili taifa uliunganishe na kuwa na umoja,utaifa na mshikamano,unatakiwa ufanye nini?Africa Kusini wana Lugha 11, mbona hawajagawanyika?
kweli mkuu kwamba TZ kisukuma, kichaga, na kinyamwezi kifundishwe hata kwa wazaramo,wabende,wanyakyusa,wairaq,wambulu,wajita,wakerewe yaani wote tujifunze lugha za makabila makubwa haya madogo yafe tu hakuna shidaHv kwann mwafrica anadharau sana lugha zake? Hii ni laana au ni kitu gani? Kwani lugha asili zikifundishwa mashuleni wewe unapungukiwa nn?
Kwa nini umechagua hayo makubwa na madogo unasema lugha zao zife?kweli mkuu kwamba TZ kisukuma, kichaga, na kinyamwezi kifundishwe hata kwa wazaramo,wabende,wanyakyusa,wairaq,wambulu,wajita,wakerewe yaani wote tujifunze lugha za makabila makubwa haya madogo yafe tu hakuna shida
Kuunganisha taifa siyo sawa na kufunga zipu ya suruali useme ukifanya kitu fulani utakuwa umeunganisha taifa. Inatakiwa mambo mengi kuwe na utawala wa haki, utiifu kwa sheria na mgawanyo wa sawa wa rasilimaliLkn hebu nisaidie ndugu,ili taifa uliunganishe na kuwa na umoja,utaifa na mshikamano,unatakiwa ufanye nini?
kwa sababu hata BBI.inataka tumia makabila makubwaKwa nini umechagua hayo makubwa na madogo unasema lugha zao zife?
Ni upumbafu kbs huo,thamani ya makabila imebaki kwenye kutambika tu,na hata mkiwa mnatambika bado mnaweza kuongea lugha ya kiswahili, kwani mzimu hauchagui lughakweli mkuu kwamba TZ kisukuma, kichaga, na kinyamwezi kifundishwe hata kwa wazaramo,wabende,wanyakyusa,wairaq,wambulu,wajita,wakerewe yaani wote tujifunze lugha za makabila makubwa haya madogo yafe tu hakuna shida