BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

Mtungi mdogo kujaza elfu 23, kununua mwanzo ukiwa imejaa ni elfu 55,ukipewa mtungi wa gas uliojaa ili ukiisha ujaze mwenyewe hujasaidiwa!?..na unadhani gas tunayotumia inatoka mtwara siyo kwamba serikali inaweza amua kupunguza tu!?..muwe mnafuatilia kwa undani mambo ya nchi yenu na kiuyachakata kifikra
 
Uzuri nimeiona taarifa hiyo hiyo ya habari.

Saa nyingine...No comment.

Bashe chapa Kazi.
 
Afadhali umedhihirisha utupu wa fuvu lako,kwa hiyo ulitaka fursa hizo za kilimo wapewe watu waliosoma vyuo vya kilimo na ufundi tu!?..unajua malengo ya BBT au walau tatizo la ajira tz!?..lipo kwa wasomi tu!?..watu wenye elimu ya chuo ni wangapi tz!?
Kwa hoja hizi za kijinga ndiyo maana BBT inakufa. Umeeelewa hoja unayoipinga ama umekurupuka. Isome tena hiyo comment.
 
Okay mimi sina akili na napinga utaratibu huu wa BBT wa kukusanya house boy kama wewe kwenda kumfundisha kilimo ndio apewe mitaji.

Wewe mwenye akili nitajie mafanikio ya BBT.

Yani uache wakulima, uache waliosoma kilimo miaka mitatu ila hawana mtaji. Ukusanye wanaobeti na hawajui lolote kuhusu kilimo uwafundishe kwa projector wiki ngapi ndio wawe na ufanisi?
 
Kwa hoja hizi za kijinga ndiyo maana BBT inakufa. Umeeelewa hoja unayoipinga ama umekurupuka. Isome tena hiyo comment.
Nisome upumbavu unaong'ang'ania kuwapa fursa za BBT wale tu waliosoma kilimo na ufundi!?..jifunze kwanza malengo ya BBT ni nini!?
 
Nisome upumbavu unaong'ang'ania kuwapa fursa za BBT wale tu waliosoma kilimo na ufundi!?..jifunze kwanza malengo ya BBT ni nini!?
Malengo ya BBT ni wakubwa kukwapua hela tu.

Vijana watafuta na kufunga Kisha watakosa masoko.
 
Hivi unakijua hata kilimo!?..kulima mahindi unahitaji kupanda kwa space ya 25cm shimo Hadi shimo kwa mbegu moja na upana wa 75-90cm,kutegemeana na Hali ya rutba ya udongo,baada ya wiki unaweka dap kisoda kimoja katikati ya mashina kwa space ya 25cm,na 10cm toka mmea kwa 50cm,baada ya wiki tatu unaweka urea hivyohivyo,yalianza kunyonga ili kutoa mbelewele unaweka nusu kisoda,kila wiki pulizia dawa ya somi,...hii unahitaji mtu aliyesoma kilimo miaka mitatu afanye!?
 
Malengo ya BBT ni wakubwa kukwapua hela tu.

Vijana watafuta na kufunga Kisha watakosa masoko.
Wakose masoko wakati Kenya wanalia njaa,tz wanalia Bei za nafaka zipo juu,we upo vizuri kichwani kweli!?..Rwanda na Burundi wanalishwa na tz,na DRC pia
 
Uvumilivu gani tena? Vijana wamefuga ng'ombe mpk wamekua lkn hakuna soko
Kutafuta soko zuri nayo ni sehemu ya shughuli yenyewe.
Hata hivyo, yawezekana ni hoja za kukosa uvumilivu, nyama, maziwa na mazao mengine ya ng'ombe yanauzika kila siku.
 
RITA(Registration Insolvency and Trusteeship Agency=LITA(Livestock Training Agency)
 
Kwahiyo Bashe na wizara yake ni wapumbavu kuweka kozi ya miaka mitatu kama kilimo ni kuchimba shimo 25cm?
Kama haihitaji aliyesoma kilimo kwanini walichukua machawa na wabeba mizigo kufanya training.

Kilimo watu wanaenda hadi Israel wewe unaleta habari za kuchimba shimo.
 
Wewe mpuuzi usiyejua kuchanganua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…