BDozen {B12} (Hamis Mandi) Mfanyakazi wa EFM ni nani / Nimesikia Leo group la watu likiwa linamuongelea

Anjiita Twangala..ana roho mbaya Kama shetani.. kipindi clouds wanaugonvi na Jay dee..Kuna mtanzania alipiga simu kwenye kipindi chake Cha xxl kuomba wimbo wa Jay dee..nakumbuka huyu B dozen alimtukana PUMBAVU? Live kwenye radio..japo miaka imepita lakini nakumbaka Hadi leo..
 
Leo nimepta sehem nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima
Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
Ni mtaalam wa masuala ya habari duniani akiwakilisha TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…