BDozen {B12} (Hamis Mandi) Mfanyakazi wa EFM ni nani / Nimesikia Leo group la watu likiwa linamuongelea

BDozen {B12} (Hamis Mandi) Mfanyakazi wa EFM ni nani / Nimesikia Leo group la watu likiwa linamuongelea

Leo nimepata sehemu nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima
Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
wewe kama una connection ya huyo jamaa iweke hapa, acha kuzunguka mbuyu.
 
Ni kijana mtanashati ambaye mafanikio yake yanawafanya vijana wavivu wavivu wasojitambua wampe majina ya hovyo
mtanashati wako na rolemode wako ana tabia hizi...[emoji116][emoji116][emoji116]
giphy.gif
 
Back
Top Bottom