Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Basi huna nidhamu mkuu😄, distraction nyepesi hiyo.unatutoa kwenye mada hapo mkuu, akili inahama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huna nidhamu mkuu😄, distraction nyepesi hiyo.unatutoa kwenye mada hapo mkuu, akili inahama.
Wewe unapenda mafanikio sijui kutoboa sijui utajiri, sasa unatakiwa uwe na angalau biashara tujue upo serious😂Mi jobless pro max tu, sina la kusema.
👉Halafu kwani wewe huna unacho penda??,
👉Je una fanya yote unayo penda??
Haha, hapana. Ila kwa siku za hivi karibuni napishana na machapisho yake sana, ndio nahoji kama ameshakuwa motivation speaker/ public speaker.Ame ku motivate?
Biashara ya nini kwa jobless??, Nikiwa nayo we Ina kusaidia kipi??.Wewe unapenda mafanikio sijui kutoboa sijui utajiri, sasa unatakiwa uwe na angalau biashara tujue upo serious😂
Una ijua statement ya kuhoji na ku declare ??Haha, hapana. Ila kwa siku za hivi karibuni napishana na machapisho yake sana, ndio nahoji kama ameshakuwa motivation speaker/ public speaker.
Ushakuwa Motivesheni spika siku hizi
Leo tena nakuambia! Kuna watu humu umewazidi akili.Unapenda sana haya madude we jamaa
Sema usikute unaongea tu halafu haufanyi utakua unazingua
Meseje sent 📤 and deliveredSijasoma habari...nmesoma picha tu..Sasa dakika tano zinatosha kweli?
Nyama gani mkuu??Naona umetiririka mapweint tupu Ila ndio maana amekunyima nyama yake 🤒
Haya banaBiashara ya nini kwa jobless??, Nikiwa nayo we Ina kusaidia kipi??.
👉Ok ninayo - uta juaje ninayo??
Wewe mmoja wapo amekuzidi mafaili kichwani unataka akupunguzie mengineLeo tena nakuambia! Kuna watu humu umewazidi akili.
🥶🥶🥶 Baridi barafu picha inaongea mengi pale juuNyama gani mkuu??
I mean no malice to nobodyHaya bana
Dah kwakuwa Hawa salitiani, basi Zina tosha.Sijasoma habari...nmesoma picha tu..Sasa dakika tano zinatosha kweli?
Akili Zina pimwa vipi??, Kwani si hata chizi ana akili??.Leo tena nakuambia! Kuna watu humu umewazidi akili.
Ss dakika tano si maandalizi tuDah kwakuwa Hawa salitiani, basi Zina tosha.
Sijui kwanini hili neno mapweint limenichekesha Sana😃😃😂Naona umetiririka mapweint tupu Ila ndio maana amekunyima nyama yake 🤒