tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Magari kama yapo kwenye Stock yao watakupa COMMERCIAL INVOICE na hayo magari yanakuws kwenye hali nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari kama yapo kwenye Stock yao watakupa COMMERCIAL INVOICE na hayo magari yanakuws kwenye hali nzuri.
Ahataaa mm nilihisi ile noah imenunuliwaSijawahi kumuamini mbongo kwenye biashara! Labda kinyozi!
Hiyo ngoma imenunuliwa hapa hapa bongo! Ni chezo tu limechezwa!
Ndioo michezoo ya sasaaaHii noma
Pdidy uandishi wako khaa!Ndioo michezoo ya sasaaa
We unahisi walee wahuni wanakwambia wananunua gari za zamani wanakupa moya unaongezea kidogo hela wanakata scraper woii
Naijuahiii
Mbaya 2010 nilikuwa na noah nikambiwa imeharibika kitu flan niko garage karibu na show room za sayansi weweeeeee
Jamaa akasema br hii Dukani sh kadhaa nikaseme na mafundi wanatoa kwenye gari wanatupa nzima wanafunga hii...nkaitaa jamaa yangu akaingalia akatest. N fundi wa ofisi akasema ya kubadili akaenda duka wakamtajia bei
Akashauri nichukue wakabadilisha aisee niliondoka nawaza sana anaekwenda kununua hiio gari anisamehetu
Nkakumbuka kumbe hata mkifwatana na noah wawili na unawaachia gari uje chukua badaee wanaweza kubadillisha spare wakakuadhibu
Toka sikuhio nashinda nao garage
Akaanza kunikacha nikipiga anasema br nikona magari 4 labda kesho woi nkaachana nae...
Hii ilikuwa Alphard Kali sana.Gari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!
Ila jaribu pia kubadilisha na hilo jina ''Papatu Papatu''Mkuu nadhani Ni jukumu lao kunipa hizo documents ili kulinda integrity yao. Ndahani Mimi nitajuaje kama zinahitajika?? Wamenitia hasara sana. Nimepata pia na wadau wengine wanalalamikia same thing
TBS mbona wanapitisha vingi tu vibovu hasa vyakula.Dah pole sana...ilikuaje TBS wakapitisha gari mbovu ?
Nashukuru mkuu, nitatfuta SBT na TCV nione option zake. Je hao wana ofisi hapa TZ?? Maana Be forward wapo Kariakoo na Posta na baadhi ya mikoa, ila huduma zao ni mbaya sana. Inasikitisha
Sasa ndugu, 10 million si unanunua powertrain complete (engine + gearbox) pale ilala? Na ikizingua wanakubadilishia bure?Gari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!
Wapeleke Mahakamani MkuuuWakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.