Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

 
Patamu hapo
 
Pole Sana.
 
Daah,pole sana mjombangu,wasingapore kumbe ni wahuni hivi
 
TCV Wana magari mazuri ila watu hawajui tu
 
Ni ya 2014, gari haiwezi kwenda hata Kariakoo inachemsha! Naomba ushari nifanyeje na hii gari. Je Toyoto Tanzania wanaweza nisaidia, maana gereji za mitaani hii imewashinda
Sorry Mkuu, Gari inayochemsha ndio Inafanyaje? Haiwaki? Au Inawaka haitembei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…