steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Wapuuzi sanaSana aisee. Nimeenda nao vizuri hela wamepokea wao shipa linafika wanaanza kuniambia unajua hii ilikuwa ya third party, nyoko nyoko nyingiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi sanaSana aisee. Nimeenda nao vizuri hela wamepokea wao shipa linafika wanaanza kuniambia unajua hii ilikuwa ya third party, nyoko nyoko nyingiiii
Pole SanaSana aisee. Nimeenda nao vizuri hela wamepokea wao shipa linafika wanaanza kuniambia unajua hii ilikuwa ya third party, nyoko nyoko nyingiiii
TCV Wana magari mazuri ila watu hawajui tu
Mmmmmmhmn 10milion mbona ni hela nyingi sana mzee?Gari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!
Hii ni hasara ya kufidiwa kabisa. Mimi siwezi kukubali aisee.Kama 26m ni kabla ya ushuru maana yake imekula kama 40m including ushuru. Pole sana
Noma Sana.Gari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!
Screenshot hayo mawasiliano, halafu weka sawa na rekodi zako za gharama ulizoingia, kisha nenda kwa mwanasheria ambaye yupo vema kwenye international laws akupe ushauri wa namna ya kudai fidia yako sababu huo ni utapeli wa mchana kweupe.Suala sio bei, hizo zote ni gari zipo kwenye kampuni ya Be forward. Singapore ni tawi la Beforward na wale ni wao wenyewe. Hata pesa nillipa kupitia account ya Be forward Japan. Na kama gari wameona ina shida kwanini hawakuandika kwenye statement yao au kwenye mawasiliano niliyodanya nao watu wa Japan???
Andaa viambatabishi kwa ushahidi halafu katafute wakili mzuri ambaye anaweza kukuwakilisha kisheria ukafungue madai upewe fidia kama sio kurudishiwa pesa yako wakutafutie gari mpya nzuri ambayo itakaguliwa na kuwa na viwango. Na hapo wakushitakiwa ni Be forward sababu uliagizia kupitia brand yao na sio wengine.Ndio hivyo na gari ipo juu ya mawe, inaniumiza sana. Mbaya zaidi Be forward hawakutaka kunisaidia kwa lolote. Imenikatisha sana tamaa ya kutumia Be forward, na sifahamu sana mitandao mingine ambayo ni genuine ya kuagiza magari
Muda mwingine unakuta details za hizo documents zinawakosesha biashara wanaona bora kutozitoa kabisa.Aaha kumbe ukienda kununua Kuna doc unapewa za utangulizi kujua condition ya gari??? Lakini nadhani kampuni ingekuwa inawapa doc wateja bila kuulizwaa..
Mleta uzi, njoo hapa kuna jambo lako.Pole sana mkuu sikuhizi ushindani ni mkubwa sana sie wengine tumeamua kabisa kuwa na watu wetu japan kwa ajili ya kukagua gari moja kwa moja.
Pili kuna documents ulinyimwa iwe ni kwa kutokujua au kwa kujua na mwisho alphard kwa singapore mpka inafika dar inaweza kufikia mpka 22m au hata 18m sababu gari za kule nyingi ni low ended car mtu akiagiza gar singapore ana tofauti ndogo sana na aliyeagiza gari Zanzibar.
Mwisho kama ni mkazi wa dar ziko kampuni nyingi sana sku hizi zinauza magari hapa hapa dar kwa bei kama ya japan unakagua chuma yako unajiridhisha unatumia ipo alphard ofisini hapa mwaka 2007 ungekuwa na 25m tungekupa au kama utaongeza hela tuje ikagua hyo yako tuvunje uongeze hela tukupe hii
But umefanya service ya aina gani hadi imefikia 10+ milioni?Ni ya 2014, gari haiwezi kwenda hata Kariakoo inachemsha! Naomba ushari nifanyeje na hii gari. Je Toyoto Tanzania wanaweza nisaidia, maana gereji za mitaani hii imewashinda
Diagnosis gani unahitaji baada ya kujua gari imeshapigwa rangi kwa kurudiwa, engine inavuja oil.Mkuu, unataka kupeleka Toyota Tanzania? No way.. Kwa humu JF namjua fundi mmoja mzuri sana JituMirabaMinne ungeanza nae. Kwasababu gari la kisasa 2014 lazima lifanyiwe diagnosis. Na yeye ni Master.
Toyota inakusumbuaje mzee, kuna gari za kusumbua sio toyota mzee.Ndugu yangu.....nimezunguka gereji nyingi, inaonekana hizi version zinawasumbua mafundi wengi. Kila mtu anasema lake, mpaka nimenunua gear box mpya 800,000 na bado gari haijapona! Ndio maana nikaona labda niende Toyota Tanzania. Kama kuna fundi anaweza niashukuru
Mmmmmmhmn we utakuwa umetumwa sio bure. Magari karibia 70% yanayoingia bongo ni kupitia beforwad company, sasa mwenzetu sijui walikukosea nini?Don’t buy used car from Be Forward..!! Gari zao zimechoka sana sana, wanaziosha na kuzipiga polish na little maintenance alafu wanakwambia iko vizuri sana, ujue Be Forward ni ya Mkinga mtanzania yuko Japan, kusema ukweli, magari mengi mno ya Be Forward ni mabovu sana na customer care yao mbovu sana..
I always buy cars from Japan kwa kufuata mwenyewe huko Japan au kupitia mitandao kama SBT Tz au TCV etc..!!
Imekaanga engine ndani ya muda mfupi.tu
Beforwad wapo vema sana na ndie car dealerships kubwa kwa hapa Tanzania ukilinganisha na wengine wote.Nashukuru mkuu, nitatfuta SBT na TCV nione option zake. Je hao wana ofisi hapa TZ?? Maana Be forward wapo Kariakoo na Posta na baadhi ya mikoa, ila huduma zao ni mbaya sana. Inasikitisha
Mkuu pole,hiyo pesa uliyonunulia gari ni halali yako 100% ??Gari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!