Beatrice Mwaipaja pole sana ushuhuda wako ni mzito lakini hatimae utashinda kwani Kristo alishinda

Beatrice Mwaipaja pole sana ushuhuda wako ni mzito lakini hatimae utashinda kwani Kristo alishinda

kitu ambacho sikuelewa ni hiki, anasema kuna mchungaji mmoja ambaye ni mwanamke, alikuwa kiongozi mkubwa wa TLP pale Makambako na Mbeya, huyo alikuwa na imani ya kishetani na aliwaingiza wao. ni nani huyo?

kama waliingia kwenye imani hiyo, na dadake huyo akarudi kumshukuru na kuungana na imani hiyo, alishoaondoka? nyimbo anazoimba yupo chini ya huyo mungu wake na imani potofu au alishaokoka sasa?

binafsi nawajua walivyoanza hao mabinti, hali ya umasikini wanayoisema ni kweli, alipokuwa anaanza kabisa, Martha alishawahi kuja kanisani kwetu, alikuwa mwembamba, mweusi, anayeonekana kama ametoka uwanja wa fisi fulani hivi, nguo alizovaa ilikuwa kasketi ka mtu masikini kale ka sagulasagula mitumba na ka tshirt keupe ka mtumba sidhani kama hata kufua alikuwa amefua. maana ilionekana ni kauka nikuvae. alikaribishwa akaimba wimbo wake hata kabla hajarekodi. kama ni Mungu aliwainua, kweli Mungu anajua kuinua watu (kama nimjuavyo Mungu), ila shida inakuja, imekuwaje baada ya kupata pesa tayari wanavaa nguo za kubana, anazunguka na binti anayevaa taiti chafu, na wanazunguka naye, na kuna kashfa ya usagaji ambayo yeye hataki kujitenga nayo. si afukuze huyo binti ili kuondoa matope anayorushiwa? kwani huyo binti ana nini cha ziada hadi anasafiri naye kongo na kwengine na yote yanayosema juu yake? kwa nini tusiamini, na kwanini hamsaidii mdogo wake?OK tuseme mdogo wake alimchukulia ndoa au vyovyote (though wote walikuwa na ndoa na kwa wanyakyusa kulala na shemeji ni kawaida tu), basi amkumbuke mama yake ambaye alishakuwa hadi kichaa na aliwasaidia kuwakuza kwa shida hadi wakafika hapo.
Ni busara kuwafukuza watu wako wa karibu ambao wamesemewa jambo baya DHIDI Yako wakati wewe unawajua vizuri kuliko wale wanaowasema!?mfano ukiambiwa mkeo/mumeo amekufanya uwe kichwa mgumu ,husikii Wala hushauriki,ili kurejesha hadhi Yako utamfukuza kwenye maisha Yako!? Na ukweli unaujua wewe hapo


Hayo mengine arekebishe , kama ni wasagaji wote ni wakati wa wao kutafuta Toba kwa amani kwa pamoja, na baada ya hapo Kila mtu atafute mume Sasa na akawe bize na familia yake ,
 
Moja ya shuhuda nzito za kufunga mwaka,ni shuhuda za msaanii wa muziki wa injili Beatrice Mwaipaja akionesha vita vikali alivyokabiliana navyo na huenda ataendelea kukabiliana navyo dhidi ya ibilisi na majeshi yake.

Vita vikali mno lakini hatimae ninamtia moyo atashinda kwa jina ya Kristo kwani yeye Kristo alishinda vita hivi.
Niliwahi kumsikiliza Rose Mhando akisimulia vita vilivyomkabili hadi Mungu kwa njia ya Kristo Yesu kumshika mkono tena lakini kisa cha huyu Beatrice kimenilazimu niandike hapa.

Natamani nimwambie kuwa ,ijapo amefunguliwa kupitia mtumishi wa Mungu ambaye amemtaja kama baba yake wa kiroho,asije akaingia kwenye mtego mwingine wa imani yake kujengwa juu ya mtumishi yeyote hapa duniani.

Imani yake aijenge juu ya mwamba imara ambaye ni Kristo Yesu pekee.

Watoto wa Mungu wengi wameingia kwenye mtego wa ibilisi kwa kujenga imani zao juu ya watu ambao Mungu amewapa neema ya huduma mbali mbali za kiroho.

Wanasahau chanzo cha msingi wa wokovu ambaye ni Kristo Yesu. Na wengi wanamfanya Kristo Yesu kama namba mbili.Ila Mungu ni Mungu mwenye wivu mkubwa na sifa na utukufu ni vyake milele na milele Amima.

Soma Yohana 8:32 imeandikwa " Tena mtaifahamu kweli,nayo hiyo kweli itawaweka huru"

Uhuru kutoka vifungo vya giza,ni kuifahamu kweli.Ukiifahamu kweli,unawekwa huru.

Mungu baba,wa Yesu Kristo azidi kujifunua kwako.Naomba watumishi wa Mungu tutumie muda wetu kumuombea huyu dada ili asinase kwenye mitego ya hila ya ibilisi ambayo Mungu akikufunulia,utaogopa sana kwa kuwa huenda watumishi unaowaamini,ukagundua ni watumishi wa giza
umetumwa na bite eeh?
 
Lazima Kuna jambo jamani.joan inasemekana ana wazazi wake na ndugu zake wengine alizaliwa nao.na kwao ni arusha.alikuja kama housemaid Kwa Martha mwaipaja.ghafla Kawa mwanae.hakuna picha joaana kaja akiwa mdogo kwamba alikua yatima kamuasili Bali alikuja akiwa mkubwa tu.

Tetesi za wao kusagana zinaniingia akilini.pale Kuna mtu na mpenzi wake sio mtu na mamake
But kama mnawazushia mtalilipa hili
Na Wewe mwenye tetesi za wao Kusagana zinzokuingia akilini utalipa, usishie kusema wenzio watalipa
 
Gospel music industry ya Tz asilimia 90 imeshavamiwa na Ibilisi. Ndio maana niliacha kuwafatilia toka 2010. Gospel zangu ni Gaither vocal Band, Doen Moen, Carrie Underwood, Cece winans. Period.
Watu wanaosifu kutoka rohoni. Even south africa kuna kwaya zinaimba acha kabisa.

Bongo walitaka ku modernize gospel but shetani akapata upenyo mahali

Goodluck gozbert yuko wapi?
 
Lazima Kuna jambo jamani.joan inasemekana ana wazazi wake na ndugu zake wengine alizaliwa nao.na kwao ni arusha.alikuja kama housemaid Kwa Martha mwaipaja.ghafla Kawa mwanae.hakuna picha joaana kaja akiwa mdogo kwamba alikua yatima kamuasili Bali alikuja akiwa mkubwa tu.

Tetesi za wao kusagana zinaniingia akilini.pale Kuna mtu na mpenzi wake sio mtu na mamake
But kama mnawazushia mtalilipa hili
Kusagana ndio nini, hebu nielezee nielewe mkuu, yaani wanasagana kama blender inavyosaga matunda?
 
Watu wanaosifu kutoka rohoni. Even south africa kuna kwaya zinaimba acha kabisa.

Bongo walitaka ku modernize gospel but shetani akapata upenyo mahali

Goodluck gozbert yuko wapi?
Mi nashangaa sana wengi wenu mnapofikiri mtu akiimba kwaya mnadhani ameokoka na ni mtu wa ibada...

Wasanii wengi wa gospel ninavyowafahamu na ambao nlishakutana nao wengi ni wahuni, walevi, umalaya n.k... ukisikiliza jumbe za nyimbo zao hutoamini.
 
Back
Top Bottom