Beatrice Mwaipaja pole sana ushuhuda wako ni mzito lakini hatimae utashinda kwani Kristo alishinda

Ni busara kuwafukuza watu wako wa karibu ambao wamesemewa jambo baya DHIDI Yako wakati wewe unawajua vizuri kuliko wale wanaowasema!?mfano ukiambiwa mkeo/mumeo amekufanya uwe kichwa mgumu ,husikii Wala hushauriki,ili kurejesha hadhi Yako utamfukuza kwenye maisha Yako!? Na ukweli unaujua wewe hapo


Hayo mengine arekebishe , kama ni wasagaji wote ni wakati wa wao kutafuta Toba kwa amani kwa pamoja, na baada ya hapo Kila mtu atafute mume Sasa na akawe bize na familia yake ,
 
umetumwa na bite eeh?
 
Na Wewe mwenye tetesi za wao Kusagana zinzokuingia akilini utalipa, usishie kusema wenzio watalipa
 
Gospel music industry ya Tz asilimia 90 imeshavamiwa na Ibilisi. Ndio maana niliacha kuwafatilia toka 2010. Gospel zangu ni Gaither vocal Band, Doen Moen, Carrie Underwood, Cece winans. Period.
Watu wanaosifu kutoka rohoni. Even south africa kuna kwaya zinaimba acha kabisa.

Bongo walitaka ku modernize gospel but shetani akapata upenyo mahali

Goodluck gozbert yuko wapi?
 
Kusagana ndio nini, hebu nielezee nielewe mkuu, yaani wanasagana kama blender inavyosaga matunda?
 
Watu wanaosifu kutoka rohoni. Even south africa kuna kwaya zinaimba acha kabisa.

Bongo walitaka ku modernize gospel but shetani akapata upenyo mahali

Goodluck gozbert yuko wapi?
Mi nashangaa sana wengi wenu mnapofikiri mtu akiimba kwaya mnadhani ameokoka na ni mtu wa ibada...

Wasanii wengi wa gospel ninavyowafahamu na ambao nlishakutana nao wengi ni wahuni, walevi, umalaya n.k... ukisikiliza jumbe za nyimbo zao hutoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…