Yaani Mimi ni mpenzi sana wa tenzi,Sasa Kuna waimbaji huwa wananikera kutuunga tune mpya hazinibariki nataka tunes nilizoimba udogoni na mama yangu na bibi yangu, Sasa huyu ndio naenda nae sawa......Mimi alinimaliza pale kwenye "ni salama rohoni mwangu"Kijito cha utakaso aliua sana
Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel 😁shida enyge zinanitoa upako
Hawa wanaobadiri tune ndio siwaelewagi kabisa ,Mimi mutu ya zamani na mhafidhina wa kanisa nataka zile za miaka ileeJamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...
Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....
Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso
Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Kaachana naye kitambo..anasema anasikiliza inner voice ya kumtumikia Mungu..eti oh Mungu alitaka afungue kanisa..ikabidi ajitoe kwa hali namali.Hv huyo shusho nae kaachana na mme wake🤔🤔🤔siku hz ni pastor ana kanisa
Dah! Sina neno kwa kwel ila nikiskia watu waliopo kwenye mda mrefu wameachana hua natafakar sanaKaachana naye kitambo..anasema anasikiliza inner voice ya kumtumikia Mungu..eti oh Mungu alitaka afungue kanisa..ikabidi ajitoe kwa hali namali.
Dah
Dah 🤔🤔🤔 ngoja nimrudie Mungu utotoni hzo zote nlikuwa naimba bila hata kushika tenzi hasa huo wa ni salama rohoni mwanguYaani Mimi ni mpenzi sana wa tenzi,Sasa Kuna waimbaji huwa wananikera kutuunga tune mpya hazinibariki nataka tunes nilizoimba udogoni na mama yangu na bibi yangu, Sasa huyu ndio naenda nae sawa......Mimi alinimaliza pale kwenye "ni salama rohoni mwangu"
Shusho snithc kinomaa.. dk sifuri anakuzunguka anachukua nafasi yake.. Tamaa sana yule dada.. Kuna issue moja ilikuwa Dubai alichofanya 🥴🥴🥴🥴...Mimi Shusho ndo ananiumiza kumuacha yule mume wake mtu mzima..kha..
Ana mume au anaimbia umalaya tu ?Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...
Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....
Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso
Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Yes....Beatrice Muhone naye...Sijawahi msikia ntamsearch leo..i thought Beatrice Muhone naye anaimba vyedi
Hivi Neema Mwaipopo aloimba raha jipe mwenyewe yuko wapi siku hizi?We usiache kumsikiliza ni anaomba Kwa utulivu wa Hali ya juu sana.
Sidhani kama wanawazidi wangoni kuimba, ila huwa sijui kwann wao wangoni hawatoi nyimbo za injili
Sijawahi msikia ntamsearch leo..i thought Beatrice Muhone naye anaimba vyedi
Yani kwako uyo ni shangazi, una umri gani?lishangazi la kienyeji hilo anaonekana ni mtamu😋
hahaa, pepo tokaa
YupoHivi Neema Mwaipopo aloimba raha jipe mwenyewe yuko wapi siku hizi?
UmechanganyaKijito cha utakaso aliua sana
Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel [emoji16]shida enyge zinanitoa upako