Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

Kijito cha utakaso aliua sana

Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel 😁shida enyge zinanitoa upako
Yaani Mimi ni mpenzi sana wa tenzi,Sasa Kuna waimbaji huwa wananikera kutuunga tune mpya hazinibariki nataka tunes nilizoimba udogoni na mama yangu na bibi yangu, Sasa huyu ndio naenda nae sawa......Mimi alinimaliza pale kwenye "ni salama rohoni mwangu"
 
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Hawa wanaobadiri tune ndio siwaelewagi kabisa ,Mimi mutu ya zamani na mhafidhina wa kanisa nataka zile za miaka ilee

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Yaani Mimi ni mpenzi sana wa tenzi,Sasa Kuna waimbaji huwa wananikera kutuunga tune mpya hazinibariki nataka tunes nilizoimba udogoni na mama yangu na bibi yangu, Sasa huyu ndio naenda nae sawa......Mimi alinimaliza pale kwenye "ni salama rohoni mwangu"
Dah 🤔🤔🤔 ngoja nimrudie Mungu utotoni hzo zote nlikuwa naimba bila hata kushika tenzi hasa huo wa ni salama rohoni mwangu
 
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Ana mume au anaimbia umalaya tu ?
 
Back
Top Bottom