Beatrice Mwaipaja

Kwa nyimbo za Tenzi, huwa nasikiliza nyimbo zake tu.

Dada yake Martha ana roho mbaya. Kuna kijana wa Kenya anaimba kwa sauti inayofanana naye.

Alimtafuta na kumpiga marufuku kuimba kwa sauti na tune yake. Nilidhani angemruhusu kwa ajili ya Utukufu wa Mungu.

Aisee!.
 
Kwa kweli na Mimi ndio muimbaji wangu pendwa....
Huyo Martha anakuwaje na roho mbaya wakati ana sura nzuri 😅😅?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…