Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
- Thread starter
- #41
Tulisema ukiolewa baki na jina la baba Yako sijui Kwa Nini wanakaza fuvu,na washauri tunaitwa mafeminist uchwara🤣Yupo
Amerudi tena japo hasikiki kama mwanzo.
Zamani alikuwa anaitwa Neema Mushi,
Sijui baada ya mambo kwenda kombo akarudia ukoo wake Mwaipopo