Beatrice Mwaipaja

Amejaaliwa uzuri wa sura?!! Mmmh!!

Muono wangu unanitaarifu kuwa Beatrice ana 'sura ya baba'.

By the way, napenda kazi zake.

My fav from her:
  • ACHA MUDA UONGEE;
  • MUNGU UMENIHURUMIA;
  • MWAKA WANGU.
Mfikishie salaam Beatrice kwamba napenda awe dada yangu wa hiari.

-Kaveli-
 
Naam! Raha ya tenzi iimbwe kwa tune yake original. Nikiona mtu ameimba kwa tune yake tofauti naona kama ni mvivu wa kutunga mashairi hivyo anatumia tenzi hahahahah
 
Dah jamani kama hiyo sura ya bite ni sura ya baba basi wewe uzuri kwako lazima kiwe kiwango Cha malaika
 
Naam! Raha ya tenzi iimbwe kwa tune yake original. Nikiona mtu ameimba kwa tune yake tofauti naona kama ni mvivu wa kutunga mashairi hivyo anatumia tenzi hahahahah
Halafu anaharibu kabisa ladha ya tenzi yaani!!!huwa nakasirika😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…