Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh waja mna maneno nyieeee🙄🙄🙄🙄🙄🙄.....Kwa kusema hivyo anauza?Huyo demu sio, tulikuwa nae dubai kipindi flani.. alizingua kinoma.. nikifunguka mazima mazima.. kama yupo ID yangu na mie huenda vikawa exposed kitaaa.. ila hafai hata kama wewe una hela unaweza piga tu.😬😬😬
Mbona mzuri hv huyu dada, anaonekana mtamu snJamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...
Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....
Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso
Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Nampa sifa zake dada, atakua mtamu mnoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mtumishi wa Mungu huyo,usimuwazie mambo ya kiiblisi bin shetani
hakuna mahala nimesema anauza..Mmmh waja mna maneno nyieeee🙄🙄🙄🙄🙄🙄.....Kwa kusema hivyo anauza?
kama umeona hivyo sawa.. ila hakuna maala nimsema kama ni muuzaji, iwe direct au indirect. Nilicho eleza usiweke tafsiri yakoUmesema indirect,ukisema ukiwa na Hela unapiga what does it mean?
Sijui watoto wa mchungaji Hawa?maana najiulizaga sielewi
Labda wanadhani yeye yupo kama Gigy Money au ZuchuMmmh waja mna maneno nyieeee🙄🙄🙄🙄🙄🙄.....Kwa kusema hivyo anauza?
Shetani anawajua walio wake, mpaka sasa baba mlezi wa kiimani kwa Gigy Money hapokei simu zetu.Nimecheka mida ya mchana kaamka Masha manyonyo anadai popo mbili zavuka mtoto ndio nimeamka sijui hata alilala wapi kauvamia ugomvi🤣🤣🤣🤣🤣
Jinga sana wewe [emoji23][emoji23]Kijito cha utakaso aliua sana
Nkiskilizaga tu nakua wa rohoni kwel kwel [emoji16]shida enyge zinanitoa upako
🤣🤣🤣🤣Mkuu acha tu nimekulia mazingira ya kiimani sana sema ndo hvo ulimwengu umeniweza mapema..japo bado ile misingi ninayoJinga sana wewe [emoji23][emoji23]
rindosabababa koshika shendelebosika labatola yamaramnda shindwa pepo,lishangazi la kienyeji hilo anaonekana ni mtamu😋
hahaa, pepo tokaa