Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

Huyo demu sio, tulikuwa nae dubai kipindi flani.. alizingua kinoma.. nikifunguka mazima mazima.. kama yupo ID yangu na mie huenda vikawa exposed kitaaa.. ila hafai hata kama wewe una hela unaweza piga tu.😬😬😬
Mmmh waja mna maneno nyieeee🙄🙄🙄🙄🙄🙄.....Kwa kusema hivyo anauza?
 
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Mbona mzuri hv huyu dada, anaonekana mtamu sn
 
Nimecheka mida ya mchana kaamka Masha manyonyo anadai popo mbili zavuka mtoto ndio nimeamka sijui hata alilala wapi kauvamia ugomvi🤣🤣🤣🤣🤣
Shetani anawajua walio wake, mpaka sasa baba mlezi wa kiimani kwa Gigy Money hapokei simu zetu.

Prophet Malisa anatakiwa ajibu swali hili...... "je Gigy Money aliokoka asubuhi jioni akarudi kwa shetani?"
 
Back
Top Bottom