Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

Nasema hivi tena, hakunaga kama Rose Muhando hapa nchini, ukishasema Tenzi hizo siyo nyimbo zake huyo dada
Hivi unaelewa ninachozungumzia Mimi?Mimi sijaongelea utunzi hapa,Mimi nimesifia uumbaji,ningetaka kusifia watunzi ningewataja hao unaowataka wewe........na nimesema mwanzo kabisa ananifurahisha ambavyo haongezi neno kwenye Tenzi wala habadilishi original tunes.
 
Kama Kuna shida kidogo sio mbaya,yeye ni binadamu hawezi kosa madhaifu ....
Kuna siku nilikuwa kwenye foleni kina dada wakawa wanajadiliana sikuwafahamu ni kina nani kuwa wanaume wengi wakiwataka wanaanza kuulizia mali, hati, sasa wakinyimwa ndiyo shida inaanzia hapo, kina dada kwasasa wana andika wazazi wao na hati zinaachwa huko

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Meza imepinduka siku hizi, wanaume nao wamechangamka😅😅😅
 
Back
Top Bottom