Beautiful people of Jamiiforums

Beautiful people of Jamiiforums

Usijali mkuu, tuliosoma hicho kitabu enzi hizo ndani kilimaanisha " A Man Of The People".
[emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji106]
 
Binafsi i wish to meet you Mshana JR lakini nikikufikiria nakuogopa sana we mtu naona ka upo hii sayari kwa bahati mbaya.
 
Upo shimo gani Mkuu?Hujui Yanga anaongoza ligi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Roho inakuumaje sasa?
Nimeona tu umewapa pongezi za dhati watu wakajistukia kama uchochezi vile ooh mara nilidhani ya matokeo ya flan yote wana weweseka tupo pale mbele hongera dada /shemeji.
 
Nimeona tu umewapa pongezi za dhati watu wakajistukia kama uchochezi vile ooh mara nilidhani ya matokeo ya flan yote wana weweseka tupo pale mbele hongera dada /shemeji.
Hahahahahaaaaa halafu siku hizi unapotea sana mkuu.
Kwenye zile zile updates haupo hadi game inapoisha ndio unajitokeza...
Sijui ni pressure? Lol
Hongera kwetu sote Mkuu,Asante sana.
 
mshana jr!

Ukituliaga una kuwa na akili mingi sana - asante sana.

Nakuombea mwaka huu uwe wa salama na wenye busara nyingi kwako ili kuvurugwa kupungue.

JF daima.
 
Back
Top Bottom