Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
My dedication to the beautiful people of Jamii Forums.
BAK angalau sikuhizi unaonekana aise...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dedication to the beautiful people of Jamii Forums.
Hahahahahaaaaa halafu ni kitu ambacho ulishakisoma...lolNilivo mbea natamani kujua namie[emoji101]
Kama vile nakumbuka kwa mbali ni vile tu kumbukumbu zinagoma kuja karibu. Du ze nidful bana bibie lolHahahahahaaaaa halafu ni kitu ambacho ulishakisoma...lol
Nipo vizuri tu hata penye updates naibuka kwa sana na sembo namcharua kwa kwenda mbele Shukran tumekata kilimilimi pamoja sana NifahHahahahahaaaaa halafu siku hizi unapotea sana mkuu.
Kwenye zile zile updates haupo hadi game inapoisha ndio unajitokeza...
Sijui ni pressure? Lol
Hongera kwetu sote Mkuu,Asante sana.
Hahahaaah asante sana mtani, bado tunapambana.Ndio hivyo mtani pole maana hamna namna tena msije kuwa kama sungura kuchoka hata mkia.
Pambaneni azam anakuja kwa kasiHahahaaah asante sana mtani, bado tunapambana.
HatatukutaPambaneni azam anakuja kwa kasi
Hahahaaaa halafu wewe? Hiyo dawa uliyoifunga nisikukumbuke imefanya kazi kwelikweli.Hahahaaah asante sana mtani, bado tunapambana.
[emoji12] [emoji12] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kama vile nakumbuka kwa mbali ni vile tu kumbukumbu zinagoma kuja karibu. Du ze nidful bana bibie lol
unaendeleaje malkiaAsante Mshana, wapendwa pia na mimi
Hongera kwa ushindi mnono wa jana [emoji4]
[emoji14] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji817] [emoji120]mshana jr!
Ukituliaga una kuwa na akili mingi sana - asante sana.
Nakuombea mwaka huu uwe wa salama na wenye busara nyingi kwako ili kuvurugwa kupungue.
JF daima.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji106] [emoji115]Ni vigumu kuondoa Jina la Mshana jr humu Jf
Ni vigumu kumsahau Mshana jr kwa mada, mawazo, na michango yake yakinifu humu jf, nakumbuka nilipojiunga humu 2011 ulikua Ni mmojawapo ya watu nlowafatilia Sana, nimejifunza vingi na mengi Toka kwako Kaka mshana,
Ama kweli ukiwa mgeni ukitaka kuwa mwenyeji
Fata nyayo za mwenyeji
Tembea na mwenyeji
Muulize mwenyeji
Ongea na mwenyeji
Nenda anapoenda mwenyeji
Mkuu nikirudi Tz ntajitahidi walau nikuone tuu
Bravoo brother mshana jr.