Beautiful people of Jamiiforums

Beautiful people of Jamiiforums

Ni vigumu kuondoa Jina la Mshana jr humu Jf
Ni vigumu kumsahau Mshana jr kwa mada, mawazo, na michango yake yakinifu humu jf, nakumbuka nilipojiunga humu 2011 ulikua Ni mmojawapo ya watu nlowafatilia Sana, nimejifunza vingi na mengi Toka kwako Kaka mshana,
Ama kweli ukiwa mgeni ukitaka kuwa mwenyeji
Fata nyayo za mwenyeji
Tembea na mwenyeji
Muulize mwenyeji
Ongea na mwenyeji
Nenda anapoenda mwenyeji
Mkuu nikirudi Tz ntajitahidi walau nikuone tuu
Bravoo brother mshana jr.
 
Hahahahahaaaaa halafu siku hizi unapotea sana mkuu.
Kwenye zile zile updates haupo hadi game inapoisha ndio unajitokeza...
Sijui ni pressure? Lol
Hongera kwetu sote Mkuu,Asante sana.
Nipo vizuri tu hata penye updates naibuka kwa sana na sembo namcharua kwa kwenda mbele Shukran tumekata kilimilimi pamoja sana Nifah
 
mshana jr!

Ukituliaga una kuwa na akili mingi sana - asante sana.

Nakuombea mwaka huu uwe wa salama na wenye busara nyingi kwako ili kuvurugwa kupungue.

JF daima.
[emoji14] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji817] [emoji120]
 
Ni vigumu kuondoa Jina la Mshana jr humu Jf
Ni vigumu kumsahau Mshana jr kwa mada, mawazo, na michango yake yakinifu humu jf, nakumbuka nilipojiunga humu 2011 ulikua Ni mmojawapo ya watu nlowafatilia Sana, nimejifunza vingi na mengi Toka kwako Kaka mshana,
Ama kweli ukiwa mgeni ukitaka kuwa mwenyeji
Fata nyayo za mwenyeji
Tembea na mwenyeji
Muulize mwenyeji
Ongea na mwenyeji
Nenda anapoenda mwenyeji
Mkuu nikirudi Tz ntajitahidi walau nikuone tuu
Bravoo brother mshana jr.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji817] [emoji106] [emoji115]
 
Back
Top Bottom