"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Samahani mkuu,Eti una undugu na Lemutuz ??,
maana kuna kitabia fulani nimekiona mmefanana
 
Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.

Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.
sasa hapo hayo magari unatumia vigezo gani kuangalia bei na ilihali sio shindani?
 
Mkuu mpe tu mm mbona nimempa ana enda nayo job daily mm natumia nyingne tu

Ila hajui kama ina kamera naimonitor kila kinachoendelea
 
Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.

Toyota Lexus lx 570 ina thamani kubwa kuliko range velar.
Hamnaga Toyota Lexus kiande wewe,,, hebu kasome vizuri!
 
Siazimi Gari kwa MTU. Na hats awaye yeyote yule siwezi kumwazima Gari langu. Labda niombe lift au aniombe lift.
 
Hivi wanawake waomba magari mnawatoaga wapi?
bora akwambie umsaidie kununua ...kuomba Gari ni ishara ya tamaa iliyokata tamaa
 
Jitahid watakuzika navyo kaburin, kuna yatima, walemavu ,wajane na makundi mengne yanayohitaji msaada,
 
Ila kuazima kiukweli inaumiza maana Mimi kuna jamaa aliazima Gari yangu ndo kwanza nimeinunua ina miezi mitano akaenda kuendeshea masifa ikambinua na show ya mbele yote ikabondeka balaa,issue ya kuazimisha mkuu ni kweli siyo vizuri maana jamaa hakuwa na hela kabisa hata kuivuta kutoka eneo la tukio mkwanja ulionitoka mpaka sina hamu kabisa!!
Usimpe mkuu mnyime tu.
 
Mkuu acha tu,kuna jamaa yangu nilimwazima.. alikula buyu. Hadi Leo anasema atanilipa.. kifupi simpi tena yeyote yule mkuu,hata la mtu sitaki hata kuomba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…