king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
yani cjui kama ntakuja kuomba gari kwa mtu , cjajua bado asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie hoi taabanMkuda hujambo?
CrownUsikariri
Ehhh hio 18m basi waelekea kutoa mtu roho...ukute premio lolKwanza sipend prado,..hhhaha,..hii ni 18mil car bro,..hzo baby walker tulikua nazo miaka kadhaa nyuma sana,..hahhhaahah,..pole sana
Sio premio au rush kweli?.au Rav4 lol...Itakuwa Toyota crown
Hahah,mkuu smart,kwa bahat mbaya nna alergy na madem wa jf wenye fake IDs ..mi natafuna wa instagrm ambao nawaona kihalisia.hahah,,very sorry bro,..na nna watafuna kwel..Kuna thread humu ililetwa kwamba ukiwa na gari unatafuna wadada kirahisi sana...
Ndiyo maana na wewe umekuja kwa style hii...
Wamekusikia, watakufikia...
Cc: mahondaw

hata kama hawezi kuibonda,unampaje demu ndinga akapigie misele,mnyime akikuzingua mteme mkuu ndinga italeta demu mwingineMkuu,mi ni m1 ya watu ambao nna his nna ugonjwa wa ku perfect vtu,yaan mim naweza nkakuonyesha simu yangu niliyotumia nkiwa form 6,na usiamin jins navyotunza vtu,..mi nna viatu vyangu vya first yr chuo had leo,ila sivivai etc etc,yaan mi ni mtunzaj wa vtu balaa,..nmerith kwa mama angu,..so nahis atabonda bonda gar,yaan siwez mkuu,...hii ni kutoka moyon,..bora awe dume ila sio mdada,tena unakuta hajaendesha gar ana mda so anajikumbushia kwenye ndinga uliyoitunza na ikatunzika.assee,hapana,si mim
Premio 14,new model 22Ehhh hio 18m basi waelekea kutoa mtu roho...ukute premio lol