"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Si uchoyo dada angu,wadada si madereva wazur,sana sana hawa wanaoazima
Wadada huwa makini saaana wakiwa barabarani! Nyie wenyewe mnatukubali! Labda kama kuna sababu nyingine la sivyo ni uchoyo huo
 
Wadada huwa makini saaana wakiwa barabarani! Nyie wenyewe mnatukubali! Labda kama kuna sababu nyingine la sivyo ni uchoyo huo
Uangalifu wa kugonga tu..kwingine hovyo kabisa.
Kuna Beemer moja nimeikuta jana garage jamaa kaitelekeza inataka kama 4.2m iamke na ina mwaka tu sababu manzi ya jamaa ilikua haielewi taarifa kwenye dashboard.mara belt imezingua ye anapiga tu start ikararua mkanda,sijui imetoa taarifa gani hadi kwa sauti demu anasema eti hakuelewa....jamaa kaizira mwezi mzima sasa.
Bora aharibu wife,atakua kaharibu lake..manzi tu ya kitaa kesho inakung'utwa na msela mwingine tuitiane hasara za mamilioni walah
 
Kuna vitu cwezi kumuazima mtu,laptop,camera ivi navichukualia kama simu ya mkononi unaazimaje kwa mfano maan kunakua na vitu vyangu personal..gari pia siazimi kwa kweli niliwahi kumuazima mtu gari ipo full tank karudisha mshale wa mafuta upo chini kabisa gari chafu na holder ya funguo kavunja..kuanzia hapo nimekoma aisee kuna watu wako careless mnoo hawathamini vitu vya wenzao kila mtu apambane na hali yake kwa kweli..na mwingine akiazima mpk upige cm kuuliza anarudisha saa ngapi kwa kweli hapana vitu vingine havivumiliki
 
Wadada huwa makini saaana wakiwa barabarani! Nyie wenyewe mnatukubali! Labda kama kuna sababu nyingine la sivyo ni uchoyo huo
Sawa wako makin,ila sio huyu wangu.
 
Kuna vitu cwezi kumuazima mtu,laptop,camera ivi navichukualia kama simu ya mkononi unaazimaje kwa mfano maan kunakua na vitu vyangu personal..gari pia siazimi kwa kweli niliwahi kumuazima mtu gari ipo full tank karudisha mshale wa mafuta upo chini kabisa gari chafu na holder ya funguo kavunja..kuanzia hapo nimekoma aisee kuna watu wako careless mnoo hawadhamini vitu vya wenzao kila mtu apambane na hali yake kwa kweli..na mwingine akiazima mpk upige cm kuuliza anarudisha saa ngapi kwa kweli hapana vitu vingine havivumiliki
Kabsaa,wew nadhan umenielewa vzur
 
Kwa jinsi wenye magari mnavyoringa ,mnaweza mkasababisha nikipata tu vipesa nikanunua ki-gari kabla hats ya kujenga. Nahisi mna pata raha sana.
Saaaana mkuu,...nunua ndinga,kujenga utajenga tuu mkuu
 
Tunataka kujua aina,siyo thamani yake na namba,unatuwekea DLV kwani sisi trafic,na suala la thamani ni kwamba unaweza kununua ist kwa m 18 ukiamua
Nmekuwekea namba ili ujue hii ndinga ya mwanaume haina hata miez mi4...hahahah,pole sana
 
Uangalifu wa kugonga tu..kwingine hovyo kabisa.
Kuna Beemer moja nimeikuta jana garage jamaa kaitelekeza inataka kama 4.2m iamke na ina mwaka tu sababu manzi ya jamaa ilikua haielewi taarifa kwenye dashboard.mara belt imezingua ye anapiga tu start ikararua mkanda,sijui imetoa taarifa gani hadi kwa sauti demu anasema eti hakuelewa....jamaa kaizira mwezi mzima sasa.
Bora aharibu wife,atakua kaharibu lake..manzi tu ya kitaa kesho inakung'utwa na msela mwingine tuitiane hasara za mamilioni walah
Ndo nasema ni uchoyo!! Kama unajua hana thamani ya kushika mali yako uko nae wa nini, heshima ni ina thamani kuliko mali. Mtu kakuthamini mpaka akuvulie nguo ila huoni hilo. Ajali inaweza mkuta yeyote hivyo ni visingizio vya kuhalalisha uchoyo!
 
Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno, mi hua siwapi mademu zangu ndinga hata siku moja na kwanza ni mara chache nimemskia demu anaomba ndinga kwangu,

Sasa nina huyu demu ambae namla mla ofcoz.sio dem kiviile ,leo ananambia anaomba ndinga,et yaani nakujikausha kote huko sikuzote sijawahi endesha gari yako,..kiukwel mimi kuhusu swala la kumpa ndinga demu ni hua haiwezekani,bora nimpe dume mwenzangu,..na tena ni nadra sana,labda awe ndugu yangu,..sio ushamba,ndo nilivyo,..namii pia kuendesha ndinga ya mtu hapana,.

Enzi hizo ndinga ya kwanza nilijuaga labda ni ushamba,lakini imeendelea hii tabia kwa ndinga zote nilizowai miliki,...sasa huyu dada kwakwel naona hanijui,na uhusiano uishe tuu ila hii ndinga siwez mpa hata sku1

Samahanin wakuda,najua mtakuja sema ooh ,so unatuambia tujue una ndinga,yes nna mandinga tena,sio ndinga.

Hivi mshahara wa march tayari umeshatoka wakuu?
 
hivi mtu akikuvulia nguo maana yake anakuthamini... machangudoa je wanathamini wangapi? kabla hajanivulia nguo mimi na yeye ameshavulia wangapi,, je anawathamini wangapi?

kwenye swala la kuvuana nguo ni sababu za kibaiolojia.. isiwe kisingizio cha kupewa kila kitu.. kama ni rahisi na anapenda why asijinunulie .. kuna wanawake wangapi wanajinunulia magari kila siku.. why wao waweze yeye hasiweze na sio mlemavu ? mambo ya kuvuana nguo ni nyege zetu ke na me.. kiasi hata asingevua kwangu mimi angevua kwa mwingine tu

hiyo sababu ina mashiko kama amekuvulia kukupatia usichana wake wewe..

Ndo nasema ni uchoyo!! Kama unajua hana thamani ya kushika mali yako uko nae wa nini, heshima ni ina thamani kuliko mali. Mtu kakuthamini mpaka akuvulie nguo ila huoni hilo. Ajali inaweza mkuta yeyote hivyo ni visingizio vya kuhalalisha uchoyo!
 
Ndo nasema ni uchoyo!! Kama unajua hana thamani ya kushika mali yako uko nae wa nini, heshima ni ina thamani kuliko mali. Mtu kakuthamini mpaka akuvulie nguo ila huoni hilo. Ajali inaweza mkuta yeyote hivyo ni visingizio vya kuhalalisha uchoyo!
Sio swala thamani sisy..huyu mtu hata haja commit kwangu,soon anasepa au hata anataka ka gari kangu ka mkopo akamuone bebi wake huko..kuna masuala ya dharura hayo kama ndugu mnasaidiana ila vingine dada ngoja nijitahidi niache uchoyo.ila kwasasa bado
 
Back
Top Bottom